ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,859
Inaoneshau hujui siasa ya upande wa visiwani. Mwenzako anaapishwa mwezi huu wewe unasema ahamie Chadema!
Hata mimi ningeunga mkono wazo hili ila kuna masuala ya msingi ya kujiuliza kwa mfano hatma ya wabunge wa cuf ikiwa cuf wataamua kuua chaa na kujinga na chadema. Jee itabidi wabunge wa cuf wajiuzulu na kufanywe uchagi mdogo? By election ili wabunge hao hao wagombanie tena kwa ticket ya chama moja yenye nguvu?Ushauri Kwa Cuf ya Maalimu Self na CHADEMA.
Tanzania tangu 1992 tuko kwenye mfumo wa vyama vingi,ccm imekuwepo hata kabla ya 1992 hivyo ni chama kikongwe na chama dola mda wote ukilinganisha na vyama vilivyoanzishwa mwaka 1992 kama Cuf, Chadema, Nccr-Mageuzi n.k.
Tangu mwaka 1992 jitihada za kuwa na upinzani imara zimekuwepo hasa kwa vyama mbalimbali vya upinzani, kwa vipindi tofauti vyama hivi vimekuwa na nguvu japo kila kipindi na chama tofauti mfano 1995-nccr mageuzi, 2005-cuf na 2010/2015-chadema ila kwa upande wa zanzibar Cuf imekuwa imara wakati wote.
Vyama hivi vya upinzani nguvu zao zimekuwa zikipunguzwa na propaganda toka ccm kama ukabila, udini,ukanda,ugaidi n.k japo kwa sasa chadema na Cuf ya Maalimu Self vimeweza kupiga hatua juu ya propaganda hizo ila sio kwa asilimia kubwa sana. Basi ni mda mwafaka chadema na Cuf ya Maalimu Self kuunda chama kimoja na sio ukawa tena. Na nashauri chadema iwepo kama sasa ila wanasiasa wa upande wa Maalimu self wahamie chadema kuunda chadema iliyo imara na sura ya muungano wa kitaifa.
Sababu kuu ya Maalimu self kwa watu wake ni kuwa Cuf imevamiwa na dola kutumia lipumba na chadema hoja kuu ni kuwa itapata nguvu Zanzibar na hoja ya udini, ukabila au ukanda ndo mwisho.
Kwa kuwa chadema ipo sehemu kubwa ya Tanzania na kwenye vichwa vya watanzania hivyo iendelee kuwepo ila iongezewe nguvu na upande wa Cuf ya Maalimu self.
Huu ni ushauri wangu kwa Maalimu Self Sharif Hamad, Freeman Mbowe, Cuf ya kweli, Chadema na wale wote wenye uhitaji wa upinzani imara.
Haya ni mawazo ya kijinga, kama unaamini Chadema ni chama imara kiendeshe sasa mapambano ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na vyama viruhusiwe kuungana kwenye chaguzi kama ilivyo Kenya Jubilee na Nasa.Ushauri Kwa Cuf ya Maalimu Self na CHADEMA.
Tanzania tangu 1992 tuko kwenye mfumo wa vyama vingi,ccm imekuwepo hata kabla ya 1992 hivyo ni chama kikongwe na chama dola mda wote ukilinganisha na vyama vilivyoanzishwa mwaka 1992 kama Cuf, Chadema, Nccr-Mageuzi n.k.
Tangu mwaka 1992 jitihada za kuwa na upinzani imara zimekuwepo hasa kwa vyama mbalimbali vya upinzani, kwa vipindi tofauti vyama hivi vimekuwa na nguvu japo kila kipindi na chama tofauti mfano 1995-nccr mageuzi, 2005-cuf na 2010/2015-chadema ila kwa upande wa zanzibar Cuf imekuwa imara wakati wote.
Vyama hivi vya upinzani nguvu zao zimekuwa zikipunguzwa na propaganda toka ccm kama ukabila, udini,ukanda,ugaidi n.k japo kwa sasa chadema na Cuf ya Maalimu Self vimeweza kupiga hatua juu ya propaganda hizo ila sio kwa asilimia kubwa sana. Basi ni mda mwafaka chadema na Cuf ya Maalimu Self kuunda chama kimoja na sio ukawa tena. Na nashauri chadema iwepo kama sasa ila wanasiasa wa upande wa Maalimu self wahamie chadema kuunda chadema iliyo imara na sura ya muungano wa kitaifa.
Sababu kuu ya Maalimu self kwa watu wake ni kuwa Cuf imevamiwa na dola kutumia lipumba na chadema hoja kuu ni kuwa itapata nguvu Zanzibar na hoja ya udini, ukabila au ukanda ndo mwisho.
Kwa kuwa chadema ipo sehemu kubwa ya Tanzania na kwenye vichwa vya watanzania hivyo iendelee kuwepo ila iongezewe nguvu na upande wa Cuf ya Maalimu self.
Huu ni ushauri wangu kwa Maalimu Self Sharif Hamad, Freeman Mbowe, Cuf ya kweli, Chadema na wale wote wenye uhitaji wa upinzani imara.
Haya ni mawazo ya kijinga, kama unaamini Chadema ni chama imara kiendeshe sasa mapambano ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na vyama viruhusiwe kuungana kwenye chaguzi kama ilivyo Kenya Jubilee na Nasa.
Maalim Seif hawezi kukikimbia Chama alichokianzisha yeye kwa machozi jasho na damu.
CUF ni muungano wa Chama cha wananchi cha James Mapalala na KAMAHURU cha Seif Sharif Hamad, msipende kukurupuka kama hamjui historia watu wametoka wapi.
Lipumba alikaribishwa tu Cuf na wanaharakati wa kiislamu baada ya kifo cha Profesa Kighoma Malima kule NRA ndipo wanaharakati wa kiislamu wakaweka kambi yao Cuf, kimsingi wanaharakati wa kiislamu wametokea NRA kwa Profesa Kighoma Malima.
Inawezekana ni wewe tu mpaka leo ndio hujui Zanzibar ni nchi na kila Mzanzibar ni Mtanzania na si kila Mtanzania ni Mzanzibar, wewe endelea kuota ndoto za mchana.Kwa mawazo yangu nafikiri anaweza akafanya maamuzi magumu juu ya issue hii. Angalia scenario hii. utakapofika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 maalim hatopitishwa na timu lipumba kugombea urais wa znz. Na sijui kama atafika akiwa bado ni katibu mkuu wa cuf kwa sababu baraza kuu la cuf la team lipumba litafanya mkutano wake hivi karibuni wa kumfukuza ukatibu mkuu na uanchama wa cuf maalim seif. Mipango imo mbioni kwa mujibu wa wasaliti wa cuf kutoka znz. Kwa mazingira hayo ni bora akajiunga na chadema au aunde chama kipya ambacho kwa asilimia 100 hakitosajiliwa chini ya ukandamizaji wa msajili wa vyama vya siasa. Ni kweli usio na shaka kuwa maalim seif ametoa mchango mkubwa sana ktk kuasisi, kukiendeleza na kukilea chama cha cuf lkn kwa sasa maji yemezidi unga kutokana na umafia wa dola/ tume ya uchaguzi ya taifa / msajili/ RITA wa kutaka kukimaliza chama cha cuf. Wahenga wamesema Wakati ndio mwalimu mzuri lkn itakuwa na natija zaidi ikiwa maalim atafanya uamuzi mgumu wa kujenga chadema moja yenye nguvu T/ bara na visiwani. hili lina wezekana kwa sababu maalim ni mchambuzi mzuri wa siasa na ameshasoma mazingira iwapo ataamua kushiriki ktk uchaguzi wa mwaka 2020 wasaliti wa cuf ya lipumba hawatompitisha na hatokuwa tayari kukaa bila ya kugombania nafasi yoyote atakayotaka ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.Tusibiri tuone.
Your biological father!Maalim Self ndio nani?
Your biological father!
Ivurugikiwe mara ngapi?Chadema wanamtaka Maalim Seif kuingia Chadema na wanapenda kuona CUF Ikivurugikiwa.
huna haki hiyo ya kunyamazisha watu humu ndani, kama huoni mvuto pita kimyakimya, nyashuLete mada zenye mvuto kama huna kaa kimya
Ashaenda ACTsiwezi kukubali ushauri wako ungejua jasho lakuingiza mbunge mmoja bungeni usingesema haya.
maalimu kajijenga kisiasa kupitia cuf huwezi kutenganisha hilo. maalimu na cuf vinategemeana. maalimu ni asset kwa UKAWA zanzibar.
kama lipumba alijiuzuli yeye ndo anapaswa kuhama. TUTAMPIMA.MAALIMU KWA HILOO AKIWEZA KUCHOMOKA HILI ATA URAIS ATAUMUDU.