Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

Kila binadamu kaumbwa na moyo. Hakuna asiyebadilika. Kuna mtu aliamini Dr Slaa atapiga chini CDM na kuwa kibaraka wa Lumumba?
Inapokuja suala la imani ni ishu nyingine, unaweza mbadili shabiki wa yanga kuwa wa simba?? Nope! Na huko iko hivyo, achana na unafiki wa watu wa bara!
 
Mkuu, kama iliwezekana kabisa Mgombea mwenza wa EL kuhama CUF na kuja cdm,

Kama iliwezekana kabisa EL kuhama Ccm na kuja cdm

Kama iliwezekana kabisa Sumaye kuhama ccm huja cdm,

Kwann wafuasi wasihame endapo walipo panafifia?

Mashabiki wa timu husika huhama endapo tu timu yao itapotea kwenye ulimwengu wa soka.

Mzee wangu alikua shabiki mkubwa wa Newcastle lakini baada ya timu ile kupoteza mvuto na kupotea, akahamia chelsea.

So, yes! Unaweza kuhama ulipo endapo kamba uliyoikamata inaelekea kukatika
 
Narudia, kwa wapemba haiko hivyo kama unavyofikiria!
Cuf ina historia kubwa kwao, sana sana watazira kwenda kupiga kura ila sio kuhama cuf! Ili cuf ife zanzibar ni lazima vizazi vilivyo hai sasa huko zenji vife kwanza!

Akiondoka Maalim cuf anaondoka na wafuasi wake wote walioko Zanzibar na Tanganyika.
 
Hapa ndio nashindwa kuelewa km kweli upinzani upo kwanini wasiungane?? Kiwepo chama kimoja.. wote mwisho nawaona wachumia tumbo nukta.
 
Narudia, kwa wapemba haiko hivyo kama unavyofikiria!
Cuf ina historia kubwa kwao, sana sana watazira kwenda kupiga kura ila sio kuhama cuf! Ili cuf ife zanzibar ni lazima vizazi vilivyo hai sasa huko zenji vife kwanza!
Sio kweli, kama bado unaota basi ni njozi za alinacha. Subili ahame uone moto wake.
 
Hapa ndio nashindwa kuelewa km kweli upinzani upo kwanini wasiungane?? Kiwepo chama kimoja.. wote mwisho nawaona wachumia tumbo nukta.
Nina hakika 2020 CUF genuine itaungana na CDM kufanya chama kimoja chenye nguvu na kumuwachia CUF skeleton Lipumba vu. Wakiungana sasa hivi itakuwa ni rahisi kwa CCM kuona kama mission accomplished na ku concentrate kykivuruga chama kimoja tu. Wanawaachia CCM waelekeze akili yao kuivuruga CUF ikifika karibu na uchaguzi wamuwachie Lipumba vu jahazi bovu na Maalim Seif & co wajiunge na zion train ya CDM. By then it will be too late for CCM's evil to cause any serious damage.
 
Narudia, kwa wapemba haiko hivyo kama unavyofikiria!
Cuf ina historia kubwa kwao, sana sana watazira kwenda kupiga kura ila sio kuhama cuf! Ili cuf ife zanzibar ni lazima vizazi vilivyo hai sasa huko zenji vife kwanza!

Sikubishii, lakini kama iliwezekana wao kuingia Ukawa na wakasonga mbele, sidhani kama hilo litashindikana. Wao ilimradi wapate tu wanayemuanini, popote aendapo watamfuata. Na kwa hali ilivyo wanamuamini zaidi Maalim kuliko Lipumba.
 
Wakuu,

Wanasema jino kwa jino, dawa ya moto ni moto.

Kwakua Lipumba kaamua kuuwasha moto huko CUF na sasa unaiunguza CUF, siioni CUF ikiwa chama kikubwa cha upinzani siku zijazo huko visiwani na hata bara.

Pia siioni kabisa bright future ya Seif ktk siasa za CUF.

Dawa pekee iliyobaki ili CCM iweze kupagawa na kupata kiwewe zaid, ni Maalim Seif ajiunge chadema.

Seif akijiunga chadema, basi itakua ni rahisi mno kwake kuendelea kupata nguvu huko Zanzibar. Pia chadema itazidi kuimarika.

Inabidi Seif atambue, ahame asihame CUF, hakuna bright future ya chama cha CUF kwa mwelekeo wake wa sasa.

Kwaiyo hatopoteza chochote akihamia chadema, bali atazidi kujiimarisha.
Na chagadema ndicho wanachotaka hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada pongezi, hakuna linaloshindikana ktk siasa watu waliofaidi matunda ktk vyama vyao na bado walikivikimbia eg Sumaye, Lowasa, Kingunge sembuse wanachama wa CUF ambao wameam ulia virungu? Kwa kuwa mission ya ccm ni kuuwa UKAWA ili CDM ife, Maalim Seif kwenda CDM itakuwa pigo kubwa Ccm na kwa hasira watakazo kuwa nazo watu wa CUF pwani yote na Zanzibar itakuwa peoples power na huku kanda ya ziwa magu anakoringia umasikini umeongezeka mara dufu hivyo matokeo yanatabirika
 
Sikubishii, lakini kama iliwezekana wao kuingia Ukawa na wakasonga mbele, sidhani kama hilo litashindikana. Wao ilimradi wapate tu wanayemuanini, popote aendapo watamfuata. Na kwa hali ilivyo wanamuamini zaidi Maalim kuliko Lipumba.
Waliingia ukawa kama cuf, hata hivyo ngoja tuone!
 
Wakuu,

Wanasema jino kwa jino, dawa ya moto ni moto.

Kwakua Lipumba kaamua kuuwasha moto huko CUF na sasa unaiunguza CUF, siioni CUF ikiwa chama kikubwa cha upinzani siku zijazo huko visiwani na hata bara.

Pia siioni kabisa bright future ya Seif ktk siasa za CUF.

Dawa pekee iliyobaki ili CCM iweze kupagawa na kupata kiwewe zaid, ni Maalim Seif ajiunge chadema.

Seif akijiunga chadema, basi itakua ni rahisi mno kwake kuendelea kupata nguvu huko Zanzibar. Pia chadema itazidi kuimarika.

Inabidi Seif atambue, ahame asihame CUF, hakuna bright future ya chama cha CUF kwa mwelekeo wake wa sasa.

Kwaiyo hatopoteza chochote akihamia chadema, bali atazidi kujiimarisha.
Kwani CHADEMA ina nguvu gani Zanzibar?
 
Itikadi ni imani kuendana na madhila wayokutana nayo haibudi kufanya maamuzi magumu ili kuwa na Mtazamo mpya utakao Wavusha.

Na sababu ya hayo yote anayejua anajua kwani Seif ni Mwanasiasa hodari anayezujua kwa undani zaidi kwa hakuna wa kumsumbua zaidi ya kuwaumiza wenye mikakati wa kumbadilishia upepo wa Kisiasa.

Maamuzi ni sehemu ya afya mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila binadamu kaumbwa na moyo. Hakuna asiyebadilika. Kuna mtu aliamini Dr Slaa atapiga chini CDM na kuwa kibaraka wa Lumumba?
Dah.!kweli. Wala hakuna alieamini kuwa yule aliyeimbwa kwa miaka mingi kuwa FIsadi atakuja kuwa ndiye Mgombea urais kupitia UKAWA halafu wote wana ukawa kuwa vibaraka wake na kuwaacha WaTZ wakishangaa
 
Waliingia ukawa kama cuf, hata hivyo ngoja tuone!

Ndio nakuambia wananchi walio wengi huwa wanafuata kiongozi wanayemuamini anaelekea wapi. Hilo la kusema maji ya bendera hamna siku hizi. Kama hao wananchi wangekuwa na maamuzi mpaka lei Maalim angeendelea kuwa mgombea wa kudumu?
 
Wakuu,

Wanasema jino kwa jino, dawa ya moto ni moto.

Kwakua Lipumba kaamua kuuwasha moto huko CUF na sasa unaiunguza CUF, siioni CUF ikiwa chama kikubwa cha upinzani siku zijazo huko visiwani na hata bara.

Pia siioni kabisa bright future ya Seif ktk siasa za CUF.

Dawa pekee iliyobaki ili CCM iweze kupagawa na kupata kiwewe zaid, ni Maalim Seif ajiunge chadema.

Seif akijiunga chadema, basi itakua ni rahisi mno kwake kuendelea kupata nguvu huko Zanzibar. Pia chadema itazidi kuimarika.

Inabidi Seif atambue, ahame asihame CUF, hakuna bright future ya chama cha CUF kwa mwelekeo wake wa sasa.

Kwaiyo hatopoteza chochote akihamia chadema, bali atazidi kujiimarisha.
CUF Seif anzisha Chama kipya au nunua Chama. Anzisha kwa kutumia watu wengine au nunua kwa kutumia watu wengine! Ili ifikapo 2019/20 Chama hicho kiwe tayari kugombea! Usiondoke UKAWA! Kujiunga CHADEMA ni sawa lakini si sana! Hii ndio dawa ya Lipumba! Maamuzi mingine magumu ni kupata ufadhili ambao unaweza kusaidia Wabunge wote wa CUF wanao kusupport wakajiuzulu! Na baadaye wote wanahamia Chama kipya au utakachokuwa umekinunua! Mwisho uanzishaji wa Chama kipya utakuwa mgumu kwa mazingira ya Serikali ya sasa hivyo nunua tu Chama kingine!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Isiwe taabu ,hujuma za CCM vidi CUF zikiendelea 2020 tunamvisha striker Maalim jersey ya CDM na kumpa ushindi zaidi ya 2015. Ole wangu CCM mfute uchaguzi tena----- patachimbika Unguja na Pemba.HAKI!
 
Back
Top Bottom