Ushauri: Lowassa pumzika siasa, ni hatari kwako

Jamani, kwenye maisha siyo kila unachotaka utakipata, tamaa mbaya

- Mtu kachuma tangu utoto, kakwiba, lakini bado anakomaa tu

- Tamaa Mbaya Mzee Pumzika
Hivi trump pamoja na pesa alizonazo kwa nini aligombea urais...tatizi ninyi mnachukulia urais kama sehemu ya kutajirika wakati ni utumishi na tittle.
 
Jamani, kwenye maisha siyo kila unachotaka utakipata, tamaa mbaya

- Mtu kachuma tangu utoto, kakwiba, lakini bado anakomaa tu

- Tamaa Mbaya Mzee Pumzika
Ni ugonjwa ndio unaomsibu jamani tiba yake ni madaraka hivi mtamfanya arudie maradhi yake kana wakati wa kampeni tamaa ugonjwa mbaya hauna dawa
 
Hivi trump pamoja na pesa alizonazo kwa nini aligombea urais...tatizi ninyi mnachukulia urais kama sehemu ya kutajirika wakati ni utumishi na tittle.
Trump sio mwizi kama hilo babu lenu
 
Nakushauri kwa umri ulionao na pilikapilika hizi za kisiasa sidhani kama unastahili na unaweza kuzimudu. Naomba nitumie jukwaa hili kushauri kiungwana na kistaarabu tu kuwa ni vema mheshimiwa sana ukastaafu siasa. Hii ni rejea ya kukamatwa kwako jana ukiwa Geita ukitokea Bukoba si mwengine bali ni ndugu yangu E.N.Lowasa.
Nimeamini Wagonjwa wengine si lazima walazwe hospitali wengine tunao huku mitaani! Wewe akili yako fupi kuliko mguu wa siafu
 
Kwanza ule mkopo uliokua unaomba ulipata??? Mwanaume mzima unaomba laki tatu, si bure wewe
 
Kwanza ule mkopo uliokua unaomba ulipata??? Mwanaume mzima unaomba laki tatu, si bure wewe
Mimi ni "Mwanamume" Original toka LAKE ZONE, na usirudie kuniita Mwanaume kama bwabwa wenzio wanaotaka niwale tigo
 
Ushauri mzuri sana,.Heri kupumzika na kuendesha miradi mingine, kwa umri alionao awaachie vijana kila Lema na wengineo, wapambane mpaka mwisho
 
Nilitegemea lowassssa angeisaidia chadema kuwa na ofisi za kudumu na kuachana na za kupanga... Tens ingefaa zaidi kwani ile pesa ya mikutano iliyositishwa wangeilekeza kwenye ujenzi wa ofisi zao? Au ns hizo wamepigwa marufuku? Institutional sustainability ya cdm IPO very uncertain....
 
Mimi sisemi Lowassa aache au asiache siasa kwakua sikawa mshabiki wa upande wowote bali huwa nazikubalitu kauli za mtu haijalishi yupo chama gani

Kwa wale wasiojua nikwanini mzee haachi siasa wamrejee MSOMI NA MWANASAIKOLOJIA anayeitwa Abraham Maslow ambae anaeleza hatua za maendeleo ya mwanadamu.Karejee kipengele alichokiita"SELF ACTUALIZATION "hapo utaelewa viziri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom