Ushauri: Lowassa pumzika siasa, ni hatari kwako

Huyo Lowassa siyo jiwe ana damu na nyama atakufa tu kama mimi na wewe. Mnatakiwa kuwa mnaandaa warithi siyo kukomalia vizee vinavyotakiwa kulea wajukuu nyumbani
Tatizo nyie waswahili wa Pwani mnaridhika na vitu vidogo, Mwinyi ana miaka 100 Lowasa 64 nani mdogo? kufa hata kama una siku moja utakufa, sisi wakristo tunafundishwa kutafuta mpaka tone la mwisho.
 
Namhurumia kama binadamu mwenzangu tu " UTU" hebu fikiria mtu ambaye kushika microphone wakati wa kampeni alikuwa hawezi, na yeye eti anajifanya mwanaharakati kweli " Wonders shall never cease"

- Kutafutiana lawama tu mzee, pumzika
Nchi hii ikiwa na watu wenye akili na mawazo kama yako...baada ya miaka mitano tu maneno ya Trump yatatimia. Tutatawaliwa tena upya na wakiloni.
 
Mkuu Mkaruka 'umeshatatuliwa' ile shida yako ya pesa kidogo uliyokuwa unaomba au unahangaika tu kumshauri mtu anayechagua alale nyumba ipi na atoke na gari ipi?
Namshauri kwasababu ana shida kubwa kuliko mimi

- Mimi nina shida ya pesa ila yeye ana shida nyingi na kubwa kuliko mimi
 
Tatizo nyie waswahili wa Pwani mnaridhika na vitu vidogo, Mwinyi ana miaka 100 Lowasa 64 nani mdogo? kufa hata kama una siku moja utakufa, sisi wakristo tunafundishwa kutafuta mpaka tone la mwisho.
Lakini siyo kutafuta kwa WIZI, DHULMA, UTAPELI, UWONGO na UZUSHI
 
Maybe ana maumivu ya kweli na ndoto kubwa za kuibadili Tz

But "you'll never get it if you want it so much"- kuna uhalisia flan
 
Namshauri kwasababu ana shida kubwa kuliko mimi

- Mimi nina shida ya pesa ila yeye ana shida nyingi na kubwa kuliko mimi
Hapana mkuu, mimi naona kama wewe ndio mwenye shida zaidi maana hata vishida vyako vidogo vidogo unakuja kuomba utatuzi kwa wanajamii forum!
 
Hivi Mkaruka ni wakati gani nyie watu wa Lumumba akili zenu zitawakaa sawa kujua kwamba nyie siyo watu wenye mamlaka au madaraka ya kuamua nani afanye nini na kwa wakati gani?

Trump ni mkubwa kuliko Lowassa na yeye ameshagombea Urais mara zingine kabla na si kupitia Republican. Kama kuacha basi Ben Sanders asingekuwa na ndoto za kugombea Urais wa Marekani mwaka 2020 maana tayari atakuwa na miaka 78!
 
Jamani, kwenye maisha siyo kila unachotaka utakipata, tamaa mbaya

- Mtu kachuma tangu utoto, kakwiba, lakini bado anakomaa tu

- Tamaa Mbaya Mzee Pumzika
Hivi kwanini Lowasa anaandamwa hivi na vyombo vya dola? Nini amekosa hata kutishiwa uhuru wake wa kutoa maoni? Kusema wale masheikh wa uamsho waachiwe ni uchochezi? Kweli? Hili jini linaloitwa uchochezi ambalo dola imelifungia kwenye chupa na inalilea iko siku litapasua chupa na kumeza watoto wa Tanzania. Watanzania hawahoji sasa lakini siku hiyo watapiga mayowe na itakuwa too late. Uganda ya Idd Amin ilianza hivi.
 
Hapana mkuu, mimi naona kama wewe ndio mwenye shida zaidi maana hata vishida vyako vidogo vidogo unakuja kuomba utatuzi kwa wanajamii forum!
Bora mimi ninaeomba JF yeye anaomba mpaka kwa WAMACHINGA, WAPIGA DEBE, MAMA N'TILIE na MABODABODA.

- Aibu iliyoje
 
Huyo Lowassa siyo jiwe ana damu na nyama atakufa tu kama mimi na wewe. Mnatakiwa kuwa mnaandaa warithi siyo kukomalia vizee vinavyotakiwa kulea wajukuu nyumbani
Nani kasema kazi ya wazee ni kulea wajukuu? Kama baba yako anaelea wajukuu unataka kila mzee afanye hiyo kazi ya kulea wajukuu?
 
Kiongozi naona watafuta 400,000/= kwa kila namna. Huku utapata tu kiongozi.

Jamani, kwenye maisha siyo kila unachotaka utakipata, tamaa mbaya

- Mtu kachuma tangu utoto, kakwiba, lakini bado anakomaa tu

- Tamaa Mbaya Mzee Pumzika
 
Hata ukiangalia Trend za CCM utaona kabisa inatengenezwa upya kwa kuingiza watu wapya kuanzia Chamani mpaka serikalini

- Kizazi cha kina Kikwete, Lowassa, Sitta, Mwandosha, Mwakyembe, Mangula, Kinana "kinapita" wanaingizwa watu wapya kabisa. Check baraza la mawaziri

- Hiyo ndio Successional plan", binadamu siyo jiwe kwamba utadumu MILELE
Kwanza hapo kuna watu wa kizazi tofauti!kikwete au Lowassa sio wa kizazi cha sita au mangula
CCM hauijui vizuri!
 
'Mpumbavu' pekee ni yule anayeiona tamaa ya mzee lowasa ktk siasa na kujivisha upofu dhidi ya tamaa ya ccm ktk siasa.
 
Mzee ana tamaa sana huyu sijapata kuona,,mbaya zaidi ataishia tu kuwa mgombea ila ikulu hatoenda
57bf6ea3055065b57beb37cc1bfc0b34.jpg
 
Back
Top Bottom