Ushauri: Lowassa pumzika siasa, ni hatari kwako

Ushauri: Lowassa pumzika siasa, ni hatari kwako

Ni wakati sasa wa mzee lowassa kupumzika na kucheza na wajukuu kama viongozi wenzake wengine.

Mzee lowassa kama wafuasi wake wanavyomuita waziri mkuu mstaafu anataka nini tena,kama ni vyeo ameshashika madaraka makubwa katika ngazi ya chama,bunge na serikalini na anapata pensheni ya ustaafu na ulinzi!

Au yeye tamaa yake ni kulala ikulu tu au ni yale yanayosemwa na watu wake wa karibu kuwa anataka kulipiza kisasi kwa wale waliomtia aibu na kamati yao ya bunge pamoja na waliomkata ccm

Ni wakati mzuri wa kumwambia mzee asiwe kama mugabe umri umekwenda aache damu changa na wananchi wa tanzania walishamkataa 2015 bado hawajabadilika mawazo yao ni yale yale ya hapana lowassa

Mbona jk ametulia anacheza na wajukuu hatumuoni akihangaika kwenye majukwaa ya kisiasa,abaki tu kama mshauri wa chama

Washauri wa chama mwambieni ukweli mzee atakufa kihoro 2020!

We demu kama umekataliwa na freddy lowasa ya baba yake yanakuhusu nini
 
Mkuu vumilia matusi watakayo kuporomoshea vijana wake wa safari ya matumaini.
Kudeki lami hakujawahi kumwacha mtu salama kiakili na kimwili.
 
KIKWETE ANA HEKIMA??? KWA NINI UNAMSINGIZIA MAMBO KAMA HAYO?
 
Marafiki zake walokua wanamchangia atawalipaje
Mwache awaze tu ikulu hadi 2025 labda
 
Lowasa akitauliwa kugombea urais tena chadema watakuwa wameharibu sana
 
Back
Top Bottom