kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Huko mbele ni kiza kinene kwake!Marafiki zake walokua wanamchangia atawalipaje
Mwache awaze tu ikulu hadi 2025 labda
Huko mbele ni kiza kinene kwake!Marafiki zake walokua wanamchangia atawalipaje
Mwache awaze tu ikulu hadi 2025 labda
ZANU PF na CCM ni vyama mama....Tufike mahala watanzania tumkatae Mugabe wetu anayeng'ang'ania kwenda ikulu kwa mbinu safi na chafu. Huyu si mwingine bali ni yule Mheshimiwa sana Mr. Misifa pasua kichwa Lowasa AKA Mamnvi.
Tumkatae mapema kabla ya jeshi kumpinga kwenye uchaguzi ujao kwani mwili na akili vimeshachoka siku nyingi amebaki sauti isiyosikika hata azungumze kwenye spika la megawatts 5000 bure kabisa. Tumkatae kwenye chaguzi za sasa za madiwani.
1958Trump na miaka yake 70 ndio kwanza anaanza maisha ya kisiasa leo Lowassa