Ushauri: Lowassa pumzika siasa, ni hatari kwako

Ushauri: Lowassa pumzika siasa, ni hatari kwako


Wakati ' ukimpovukia ' Lowassa anataka nini katika Siasa na nchi hii pia usisahu kutuulizia kwa Mzee wetu nae Steven Wassira kwamba kuna nini bado anakitaka katika Siasa za nchi hii mpaka hii leo bado ' anakomaa ' tu na Kesi za Kupinga ushindi wa halali na haki wa Mbunge wa Bunda Esther Bulaya? Kumbuka huyu Lowassa ameanza kuingia na kusikika katika Siasa zetu hizi in late 80's lakini kwa Mzee Wassira naambiwa tokea siku moja tu nchi hii kupata Uhuru alikuwepo ' Madarakani ' tena katika Awamu zote nne ( 4 )
Yaani kuna watu wana DNA za Kimugabe kabisa
 
Kweli kama Mzee Wassira hadi inatia hasira na huruma ndani yake!!! Sijui anataka nini!! Au amesahau nini yule Mzee!! Njaa ikihamia kichwani ni mbaya sanaa
 
Kuna kosa lolote mtu kupigania anachokiamini Kama havunji sheria na taratibu za nchi?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jamani, kwenye maisha siyo kila unachotaka utakipata, tamaa mbaya

- Mtu kachuma tangu utoto, kakwiba, lakini bado anakomaa tu

- Tamaa Mbaya Mzee Pumzika
Kwa vile wewe hujui your PURPOSE in this world basi unataka kila mtu afikiri kama wewe!!

Maisha yanakwisha siku unapokufa. Otherwise, everything is possible as long as you are still living!! Ukiwa na tabia ya kuridhika mapema hutafanikiwa duniani!!

Mwacheni aendelee na ndoto zeke!
 
Akifa ni ndugu yako kuwa utapoteza? acha apambane na hali yake.
Namhurumia kama binadamu mwenzangu tu " UTU" hebu fikiria mtu ambaye kushika microphone wakati wa kampeni alikuwa hawezi, na yeye eti anajifanya mwanaharakati kweli " Wonders shall never cease"

- Kutafutiana lawama tu mzee, pumzika
 
Hizo ndizo tabia zenu maccm.
Mnataka kumuua?
Tumeisha wagundua wauwaji wakubwa nyie.
Miaka 50 mko madarakani lkn hamtosheki tu kwani bado mnataka nn? Mbona umasikini ktk nchi yetu ndio unaongezeka si bora muwachie na vyama vingine?
Ni kitu gani ambacho hamjapata? Kipi ambacho hamjaiba? Wangapi mmeua kwa tamaa ya madaraka.
Jamani imetosha............
 
Namhurumia kama binadamu mwenzangu tu " UTU" hebu fikiria mtu ambaye kushika microphone wakati wa kampeni alikuwa hawezi, na yeye eti anajifanya mwanaharakati kweli " Wonders shall never cease"

- Kutafutiana lawama tu mzee, pumzika
Ungekuwa Fred Lowasa ningekuelewa, toka 2015 mnamuombea kufa matokeo yake mnakufa ninyi na yeye ana dunda kinyama( Kombaini, Sita na Masaburi)
 
Kwa vile wewe hujui your PURPOSE in this world basi unataka kila mtu afikiri kama wewe!!

Maisha yanakwisha siku unapokufafa. Otherwise, everything is possible as long as you are still living!! Ukiwa na tabia ya kuridhika mapema hutafanikiwa duniani!!

Mwacheni aendelee na ndoto zeke!
Mswahili wa Pwani akishapata chakula ndoto inaishia hapo.
 
Tundelee kusema tu kuhusu huyu mzee lakini tuheshimu uamuzi wake wa kuendelea kufanya siasa. Hatuwezi kumuamlia mtu maisha yake.

Anyway, kuendelea kumsakama na kutaka sana aache kushiriki active politics ni uthibitisho tosha kuwa ENL ana mchango wenye tija kwa taifa na chama chake na baadhi ya watu humu wana hofu, sijui ya nini!

Livelihood ya ENL iko kwenye active politics na huo ni uchaguzi wake na ni haki yake! Mapovu ya nini humu, kama siyo woga usiyo na msingi wowote!
 
Kweli kama Mzee Wassira hadi inatia hasira na huruma ndani yake!!! Sijui anataka nini!! Au amesahau nini yule Mzee!! Njaa ikihamia kichwani ni mbaya sanaa
Hata ukiangalia Trend za CCM utaona kabisa inatengenezwa upya kwa kuingiza watu wapya kuanzia Chamani mpaka serikalini

- Kizazi cha kina Kikwete, Lowassa, Sitta, Mwandosha, Mwakyembe, Mangula, Kinana "kinapita" wanaingizwa watu wapya kabisa. Check baraza la mawaziri

- Hiyo ndio Successional plan", binadamu siyo jiwe kwamba utadumu MILELE
 
Ungekuwa Fred Lowasa ningekuelewa, toka 2015 mnamuombea kufa matokeo yake mnakufa ninyi na yeye ana dunda kinyama( Kombaini, Sita na Masaburi)
Huyo Lowassa siyo jiwe ana damu na nyama atakufa tu kama mimi na wewe. Mnatakiwa kuwa mnaandaa warithi siyo kukomalia vizee vinavyotakiwa kulea wajukuu nyumbani
 
Back
Top Bottom