Bahati nzuri sijafunga ndoaKama wewe ni mkristo ni hadi kifo kiwatenganishe...
Hakuna kutoka
Bahati nzuri sijafunga ndoaKama wewe ni mkristo ni hadi kifo kiwatenganishe...
Hakuna kutoka
🚮Teh Teh
Msinyimane mtume Paulo alikazia sana minyanduano only kwa wanandoa.
Kwa hiyo hao ni kizazi cha 1890?Wengi ni mental case
Kwa hiyo wewe ni mzinzi?Bahati nzuri sijafunga ndoa
Kwa hiyo wewe ni mzinzi?
Ndoa zilisha kufa kifo cha mende , ndoa zilikua zinalindwa na mifumo dume tangu kale ya mababu zako , now kila mtu afe na mambo yake hizo habari za ndoa ni huko makanisani mnadanganyana tuKwa hiyo hao ni kizazi cha 1890?
Haya uliyoyasema Mengi karibu yote ni kwa mwanamke sio mwanaume ,na bila shaka mtoa mada utakuwa ni KE maana huu ushauri umekaa ki mwanamke mwanamke.Kama tendo la ndoa halina maana kwako, basi ndoani sio sehemu yako.
Katika ndoa, tendo la ndoa sio hiari - ni msingi.
Ikiwa unapenda kutenga pesa zako peke yako, basi baki mseja daima.
Ndoa ni maono ya pamoja, pochi ya pamoja, na dhabihu ya pamoja.
Ikiwa unawapenda wazazi wako zaidi kuliko mwenzi wako wa ndoa, ndoa itakuwa kama mzigo mzito kwako.
Mpenzi wako lazima awe kipaumbele. Ikiwa sivyo, ishi na wazazi wako. Ikiwa huwezi kushauriwa, kaa peke yako.
Ndoa haitawaliwi na sauti moja bali hujengwa na mioyo miwili yenye unyenyekevu inayosikilizana.
Unyenyekevu huweka upendo pamoja. Ikiwa huwezi kusahihisha makosa yako basi baki kuwa mseja.
Ikiwa huwezi kusema "samahani," huwezi kuishi na mtu yeyote. Ndoa si ya wenye kiburi. Ndoa ni ya watu wanaomiliki makosa yao na kuomba msamaha.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Mwenye akili yoyote hawezi ishi na mwanamke.ukiona umeweza kuishi na mwanamke jua fika wewe huna akili.NDOA NI KWA WENYE AKILI NYINGI PEKE YAKE VIJANA
Hujawahi kutana na wanaume wanao hitaji ushauri hapa jf?Haya uliyoyasema Mengi karibu yote ni kwa mwanamke sio mwanaume ,na bila shaka mtoa mada utakuwa ni KE maana huu ushauri umekaa ki mwanamke mwanamke.
Kwa kataa ndoa fans wewe utakuwa ni mweka hazina unayeiba michango yote ya wanachama..Ndoa zilisha kufa kifo cha mende , ndoa zilikua zinalindwa na mifumo dume tangu kale ya mababu zako , now kila mtu afe na mambo yake hizo habari za ndoa ni huko makanisani mnadanganyana tu
Mbona wasio na akili wengi tu wamejazana kwenye ndoa ? Ni kuuana kufumaniana na kuambukizana Ukimwi tu.NDOA NI KWA WENYE AKILI NYINGI PEKE YAKE VIJANA
SchwupidiIkiwa unawapenda wazazi wako zaidi kuliko mwenzi wako wa ndoa.
Mpenzi wako lazima awe kipaumbele. Ikiwa sivyo, ishi na wazazi wako. Ikiwa huwezi kushauriwa, kaa peke yako.
Vichaa wengi sasa hivi mmejazana kwenye ndoa ndio maana mnachinjana kama kuku tuKwa kataa ndoa fans wewe utakuwa ni mweka hazina unayeiba michango yote ya wanachama..
Wahuni ndivyo mlivyo
FactUsifunge ndoa pahala popote hadi muishi pamoja kwa miaka 20
Yani mtu asimpende mzazi wake zaidi kuliko wewe , ?? Kweli hiyo ndoa yako utakua umemdaka kiazi ( samahani lakin)Kwa kataa ndoa fans wewe utakuwa ni mweka hazina unayeiba michango yote ya wanachama..
Wahuni ndivyo mlivyo
Sasa kwa nini wataka kumkimbia mke?Hapana sababu nilishalipa mahari na tuna watoto