Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

Aisee kwa mara ya kwanza mwanamke anasema sex ndio kitu muhimu cha kwanza mwenye ndoa. Hongera kwa kulitambua hilo.
Jama i msinyimane humo kwenye ndoa
Migogoro mingi kwa wanandoa husababishwa na kunyimana na wanaoongoza kwa kunyimana ni wanawake vilaza
 
Tumepata mtetezi. Wahuni sana hawa wake wanatunyima mbususu alafu eti anashangaa ukienda kamatia mchepukoz.
Sio wote best so usituweke katika kundi la wahuni ilhali tupo tusio wahuni.
 
Ikiwa unawapenda wazazi wako zaidi kuliko mwenzi wako wa ndoa, ndoa itakuwa kama mzigo mzito kwako.
 
Back
Top Bottom