Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

Yani mtu asimpende mzazi wake zaidi kuliko wewe , ?? Kweli hiyo ndoa yako utakua umemdaka kiazi ( samahani lakin)
Imeandikwa... "wataacha baba na mama nao watakuwa mwili mmoja.."

Imagine uko kwenye ndoa halafu mama au baba yako ndio kaishika ndoa kutakuwa na ndoa hapo?

Kama wataka kukaa na wazazi wako basi endelea kuwa mseja kijana
 
Ndoa siku hizi ni mtego ambao huwezi kujua target mpaka pale utapoingia.
 
Imeandikwa... "wataacha baba na mama nao watakuwa mwili mmoja.."

Imagine uko kwenye ndoa halafu mama au baba yako ndio kaishika ndoa kutakuwa na ndoa hapo?

Kama wataka kukaa na wazazi wako basi endelea kuwa mseja kijana
Imeandika na nani? , acheni kudanganya vijana waache wazazi wao wawapende wakati ki asili nyie ni ngumu kufanya hivyo
 
Umeandika facts ambazo bahati nzuri wengi wanazijua ila bahati mbaya utekelezaji wake ni adimu
 
Kama tendo la ndoa halina maana kwako, basi ndoani sio sehemu yako.

Katika ndoa, tendo la ndoa sio hiari - ni msingi.

Ikiwa unapenda kutenga pesa zako peke yako, basi baki mseja daima.

Ndoa ni maono ya pamoja, pochi ya pamoja, na dhabihu ya pamoja.

Ikiwa unawapenda wazazi wako zaidi kuliko mwenzi wako wa ndoa, ndoa itakuwa kama mzigo mzito kwako.

Mpenzi wako lazima awe kipaumbele. Ikiwa sivyo, ishi na wazazi wako. Ikiwa huwezi kushauriwa, kaa peke yako.

Ndoa haitawaliwi na sauti moja bali hujengwa na mioyo miwili yenye unyenyekevu inayosikilizana.

Unyenyekevu huweka upendo pamoja. Ikiwa huwezi kusahihisha makosa yako basi baki kuwa mseja.

Ikiwa huwezi kusema "samahani," huwezi kuishi na mtu yeyote. Ndoa si ya wenye kiburi. Ndoa ni ya watu wanaomiliki makosa yao na kuomba msamaha.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Ukiolewa wewe inatosha
 
Aisee kwa mara ya kwanza mwanamke anasema sex ndio kitu muhimu cha kwanza mwenye ndoa. Hongera kwa kulitambua hilo.
Jama i msinyimane humo kwenye ndoa
 
Vile niki imagine unalala na mchuchu shuka moja mmekumbatiana.

Daaah inanitafakalisha, najikuta nataka kujaa kwenye mfumo wakat wa barid.

Ila roho mtakatifu ananiambia "vumilia bdo kidogo, tafuta pesa mtungi wa gesi unalala jikoni.'
 
Kwamba umpende mwenzi wako kuliko wazazi wako!!
Ndio ndoa hiyo!!!

Neno kuliko ni ubatili mtupu kama yeye anawapenda wa kwao kuliko was kwenu Ina maana ili ndoa idumu lazima unyenyekee ubinafsi wake!!?

Ubinafsi wa wanawake lazima uadhibiwe Kwa maamuzi magumu sana yenye kuogofya!

Kufanya compromise ya ubinafsi wake kisa harusi ilifana,mmezaa watoto wengi au mmejenga sana au mwanamke ni mfanyakazi ana mshahara ye ni madam!!Huo Ni upumbavu wa Karne ambao hata dam yangu sitoshauri arithi ujinga kama huo!
 
Back
Top Bottom