KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,117
- 5,321
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa.
Leo acha nionekane kichaa kwa mara nyingine tena lakini nitoe ushauri huu kwa viongozi wa upinzani bila kuzungumzia au kuangalia chochote kilichotokea huko nyuma ila naangalia sasa na kesho ya Tanzania.
UShauri wangu Leo utajikita katika kutazama nia na dhamira ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutumia jicho la tatu kwa Taifa letu kwa kipindi Cha miaka 5 ijayo 2025-2030.
Niliwahi kuandika uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads...rais-samia-naiona-tanzania-mpya.2137379/ambao niliona nia na dhamira njema ya Rais wetu kwa nchi yetu.
Hapa pia niliona dhamira na nia njema PreGE2025 - Tulio tayari kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025, tujipongeze kwa kulitendea haki Taifa
Hapa nilieza kwa nini natamani sana Rais Samia Agombee kwa sababu niliona dhamira na nia yake njema https://www.google.com/url?sa=t&sou...MQFnoECCMQAQ&usg=AOvVaw2YJqVeDXLP6jxC9ZF21Nfp
Hizo ni baadhi ya nyuzi nilizoandika baada ya kuona nia njema ya Rais wetu kwa Taifa ,ni nia njema kabisa
Kutokana na Hilo ndio maana Leo nasimama kuwashauri wapinzani wasizoreteshe nia hiyo njema.
Nia ya Rais Samia kulivusha na kulipeleka Taifa letu nchi ya ahadi
ni ya dhati
Nia ya Rais kufanya maridhiano na kujenga umoja wa kitaifa kupitia maridhiano ni ya dhati
Nia ya Rais wetu kuibadili nchi yetu ni ya dhati
Nia ya Rais wetu kutupatia katiba mpya ni ya dhati.
Tafadhali vyama vya upinzani msipoteze nafasi hii adimu kwa misukumo ya kisiasa na kufanya kilio Cha kutopatikana katiba mpya kikaanza upya kwa watu maana wakati huu katiba itapatikana. Tukipoteza nafasi hii tutamkumbuka.