Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,657
- 112,577
Salama bro..!!Wa degree ndio mmefundishwa kuwadharau wanaosoma cheti?
Alafu mi sio broh!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Salama bro..!!Wa degree ndio mmefundishwa kuwadharau wanaosoma cheti?
Alafu mi sio broh!
Ushauri mzuri sana huuMkuu UKIZIDISHA SANA UPENDO UTAITWA MSUMBUFU,
Be a gentle man,
Usiwe mtumwa kaa kimya wala usimpigie simu asipokutafuta achana nae.
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Ana stress... kama alivyo sema[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Bora ungemuita mkuu, kama haukua na uhakika wa jinsia yake...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Salama bro..!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hamna mkuu mapenz hayana mwenyeweStress ndo zikufanye mwanaume mzima na digrii yako unaandika hivyo?? Kwenu huna mababu?? Babu zako walikua na wake wangapi?? Wazee walikua hadi na wake 12 na hawakua na stress wewe huyo mmoja hata hujamuoa ajakutia stress namna hio?
Man up.
NB:Nafikiria kuanzisha elimu ya Jando mtandaoni(JANDO UNIVERSITY). Ni aibu hii
Bora ungemuita mkuu, kama haukua na uhakika wa jinsia yake...![]()
![]()
![]()
![]()
nimekuelewa sana nakushukuru sana ubarikiwe kwa mchango wako i have learned something to u! God bless u!Pamoja na uzuri alionao hauzidi wako. Hata wewe uko vzr na asikuzingue. Km unataka mke hatoki ktk uzuri alio nao anatoka kwa Mungu. Ushauri unapaswa kumshirikisha Mungu juu ya mke unaemtaka. Utampata mke kutokana na uzuri atakuja kukuletea shida baadae, na kwa huyo nikuambie ukwei hauko mwenyewe wewe ni kma tair la ziada tu kwake. Mm nipo kwenye ndoa na ninatoa ushauri pia kwa wenye ndoa na ambao wanatarajia kuoa. Iwapo utakosea ukaoa mke ukiwa na miaka 25 na Mungu akakupa maisha ya miaka 75 jua miaka 50 utakuwa unawek a miko o kichwani ila watu wanapokuona unOnekana uko kawaida. Hakuna msiba mkubwa km kuishi ktk ndoa isiyokuwa na amani. Ni mara mia ulale na maiti asubuh mtachimbia ila si ndo isiyo na amani.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Im sor sio inaumiza mtoto unapomjengea msing analeta dharau! sio vizr