Ushauri kwa penzi hili, msichana ana ahadi za uongo

Ushauri kwa penzi hili, msichana ana ahadi za uongo

Naongezea,
Kama anasoma certificate it means kwamba ni form four leaver wa juzi,
Huyo ni msichana bado hajawa mwanamke ,
Achana nae atakupotezea muda.
Nashukuru luck dube ! mtazamo wako ni kama wangu! kuna siku atakuja kunikumbuka na mm isharah namtakia mafanikio mema nafikiria kuquit it! thanx brother!
 
Kama umeshakula mzigo jiangalie kwa jicho la tatu, kwa nini aanze dharau baada ya kugegedana?? Kama hujala mzigo halafu unatoa majibu ya kudharau cheti chake bado wewe ni wa kujiangalia, ndoa sio PhD, degree wala cheti ndoa ni zaidi ya hayo ndugu

Noted
 
Ubar
Naongezea,
Kama anasoma certificate it means kwamba ni form four leaver wa juzi,
Huyo ni msichana bado hajawa mwanamke ,
Achana nae atakupotezea muda.
Ubarikiwe sana!
 
Mpotezee kama anakuchomesha mahind 4hourz...af hana reason ya mcng....omba mungu utapta wa kuowa..
 
Dawa ya kiburi ni jeuri, kama vp kata nae mawasiliano. Hawa wadada siku hiz wanaringa mpaka kero hadi house girl mwenyewe shida tu. Yaan ukimtamkia kuwa una mpango wa kumuoa ndio shida inaanzia hapo atakusumbua wee sasa dawa yake siku akipiga au ukimpigia mwambie umepata mwingine kwa hiyo yeye mwisho uone atakavyohaha
Kweli mkuu tukitaka kuwaoa wasumbua tukiwaacha wanasema sisi sio waoaji! mungu atusamehe
 
Don't quit too early...mimi nilimfuatilia demu miaka miwili na sasa tunaishi wote..

UJINGA gani huo, mimi siwezi kufanya...
Yaani nipoteze muda, pesa, resources kumfukuzia demu????
Mwanamke akiwa msumbufu namlia timing akijilengesha namtia kinyama then namtema ptuuuuuuuuu...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ndio wanavyotaka! nakumbuka ule msemo kwenye miti hakuna wajenzi
 
Wakuu! ki ukwel nimepitia changamoto katika mahusiano ila ikwemo kuhudhunika pale nilipoachwa!
Direct to my stori nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Dar kaz ya ujasiriamali ki ukwel nilimpenda xana bint mmoja wa cheti akiwa chuo fulani cha fedha Dar! Kutokana na jinsi alivyo nilimpenda ikizingatiwa muonekana wake wa stara! nilionana mara tatu akiwa anakuja kuchukua mzigo wa mama yake
Kiukwel mzr na mm kwa kuwa natafuta mtu wa kuoa nikamchomekea Akakubr tatizo limekuwa hivi
Demu analeta majibu ya ajab unaweza kumpigia cm hapokei na anaweza kukukarish 4 hrs withou reasons mnapokuwa katika appointment! kutokan na mazingira hayo nataka kugive up kwa kuwa dem bora hata Angsekuwa nA bachelors au kaz afadhal kumbe ni take And go kwa wazaz ananiletea kibuli! namfikiria to quit her! ushaur pls

we mjasiriamali naona unapambana sio kidogo kizungu unakimix mbayaaa ila unaelekea kukijuwa with time kitaeleweka ila nyie watu wa huko sio oriented na lugha hii kabisa

ok kuhusu mchuchu ulishamkula ? kama hujamkula lol usibanduke jidai kenge mpaka umparamie ndio u-move on
 
kwa wenzio sawa tu, kwako hutaki teh teh teh....
we mjasiriamali naona unapambana sio kidogo kizungu unakimix mbayaaa ila unaelekea kukijuwa with time kitaeleweka ila nyie watu wa huko sio oriented na lugha hii kabisa

ok kuhusu mchuchu ulishamkula ? kama hujamkula lol usibanduke jidai kenge mpaka umparamie ndio u-move on
 
we mjasiriamali naona unapambana sio kidogo kizungu unakimix mbayaaa ila unaelekea kukijuwa with time kitaeleweka ila nyie watu wa huko sio oriented na lugha hii kabisa

ok kuhusu mchuchu ulishamkula ? kama hujamkula lol usibanduke kenge mpaka umparamie ndio u-move on
nimeshakula mkuuuu!
 
Back
Top Bottom