Ushauri kwa penzi hili, msichana ana ahadi za uongo

Don't give up mda mwingine wadada tunatabia ya poz kidogo na kumsoma mtu aone kama unampenda kiasi gani..ila mapozi yakizidi sanaa jiondokee zako maana utakuwa unapoteza mda
 
Wakuu! ki ukwel nimepitia changamoto katika mahusiano ila ikwemo kuhudhunika pale nilipoachwa!
Direct to my stori nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Dar kaz ya ujasiriamali ki ukwel nilimpenda xana bint mmoja wa cheti akiwa chuo fulani cha fedha Dar! Kutokana na jinsi alivyo nilimpenda ikizingatiwa muonekana wake wa stara! nilionana mara tatu akiwa anakuja kuchukua mzigo wa mama yake
Kiukwel mzr na mm kwa kuwa natafuta mtu wa kuoa nikamchomekea Akakubr tatizo limekuwa hivi
Demu analeta majibu ya ajab unaweza kumpigia cm hapokei na anaweza kukukarish 4 hrs withou reasons mnapokuwa katika appointment! kutokan na mazingira hayo nataka kugive up kwa kuwa dem bora hata Angsekuwa nA bachelors au kaz afadhal kumbe ni take And go kwa wazaz ananiletea kibuli! namfikiria to quit her! ushaur pls
Inshort ni kuwa hakupend

Sio peke yko uliemuona kuwa ni mzr
Dunia nzma inamuona hvyo

Kikubwa ni kuwa ignore kuwa anakufanyia vi2 vya ajab na kuwa don't care. Atakupenda2
 
Wakuu! ki ukwel nimepitia changamoto katika mahusiano ila ikwemo kuhudhunika pale nilipoachwa!
Direct to my stori nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Dar kaz ya ujasiriamali ki ukwel nilimpenda xana bint mmoja wa cheti akiwa chuo fulani cha fedha Dar! Kutokana na jinsi alivyo nilimpenda ikizingatiwa muonekana wake wa stara! nilionana mara tatu akiwa anakuja kuchukua mzigo wa mama yake
Kiukwel mzr na mm kwa kuwa natafuta mtu wa kuoa nikamchomekea Akakubr tatizo limekuwa hivi
Demu analeta majibu ya ajab unaweza kumpigia cm hapokei na anaweza kukukarish 4 hrs withou reasons mnapokuwa katika appointment! kutokan na mazingira hayo nataka kugive up kwa kuwa dem bora hata Angsekuwa nA bachelors au kaz afadhal kumbe ni take And go kwa wazaz ananiletea kibuli! namfikiria to quit her! ushaur pls

Mkuu utansamehe ila kiukweli huwa Sipend unafiki. Kwanza uandishi wako ni mbovu kupata maelezo. Mpangilio wa maneno ni F, uandishi na spelling F.

Kingine sijapenda ulivyoponda huko chini kua eti yy ni cheti na wewe una bachelor, kwanza tambua love has nothing to do with education. Na nadhani umeponda kupunguza machungu.

Tatu, inavyoonyesha wakati yy anatumwa na mama yake ulikua Dar, na sasa haupo. Dar ni mjini kiongozi,nnasikia kaharufu kabisa kua Binti ulimuhonga na kumshawishi na vijisent Ku pretend kukupenda that time but kiuhalisia alizipenda pesa zako na Si wewe.

Ushauri: Achana nae ,Si Mwanamke wa aina yako huyo,Ongea na Mungu akulete mkeo orelse karibu kwenye chama chetu na nay wa mitego cha kuzalisha ,Lea watoto mama mwache aende zake
 
Mkuu umesoma degree ya course gani kwa maana hata kujielezea huwezi,anyways fatuta pesa,watoto wa chuo bila pesa hung'oi
 
ndugu nyangu kuwa makini kama anaanza kuleta mapichapicha ktk uchumba akiwa mke je.....
 
nimekuelewa sana nakushukuru sana ubarikiwe kwa mchango wako i have learned something to u! God bless u!
Ila mkuu nimeupenda ukarimu wako, for real your matured, hata comments mbaya hupaniki na unazijibu kwa kujishusha.
Keep it usije ukawa kama [HASHTAG]#faiza fox[/HASHTAG]
 
Mkuu umesoma degree ya course gani kwa maana hata kujielezea huwezi,anyways fatuta pesa,watoto wa chuo bila pesa hung'oi

Hivi pale Coet hawajaongeza degree ya Rock and Stone breaking engineering?? Huenda ikawa ndiyo inazalisha waandishi wa namna hii
 
Siku utakayoacha kutumia X kwenye S ndio Siku ambayo huyo bibie atakuona mtu wa maana.
 
Wewe utakua engineer kweli, hatunaga mda sisi. You want ,let's go. You don't ,go!!
UJINGA gani huo, mimi siwezi kufanya...
Yaani nipoteze muda, pesa, resources kumfukuzia demu????
Mwanamke akiwa msumbufu namlia timing akijilengesha namtia kinyama then namtema ptuuuuuuuuu...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Wakuu! ki ukwel nimepitia changamoto katika mahusiano ila ikwemo kuhudhunika pale nilipoachwa!
Direct to my stori nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Dar kaz ya ujasiriamali ki ukwel nilimpenda xana bint mmoja wa cheti akiwa chuo fulani cha fedha Dar! Kutokana na jinsi alivyo nilimpenda ikizingatiwa muonekana wake wa stara! nilionana mara tatu akiwa anakuja kuchukua mzigo wa mama yake
Kiukwel mzr na mm kwa kuwa natafuta mtu wa kuoa nikamchomekea Akakubr tatizo limekuwa hivi
Demu analeta majibu ya ajab unaweza kumpigia cm hapokei na anaweza kukukarish 4 hrs withou reasons mnapokuwa katika appointment! kutokan na mazingira hayo nataka kugive up kwa kuwa dem bora hata Angsekuwa nA bachelors au kaz afadhal kumbe ni take And go kwa wazaz ananiletea kibuli! namfikiria to quit her! ushaur pls
Mkuuu, piga chini. Dalili ya mvua ni mawingu, hapo kuna somebody yupo.

Akizinguliwa mazima ndio atakuja kwako kutulia,BUT wew ndio unastahili kupata vilivyo pigwa chini na wengine?? bt nani anaijua kesho??

Mtu anaefikiria na kuwa na plans na wew atakuheshimu na kutokana huwe na doubts juuu yake.

Hapo una waste muda tu, broo.

Sasa wew nenda naye sawa.

Yeye si anakuchukulia poa, mute. Akikucheki, respond, text jibu, akipiga pokea , usilalamike wale nin.

Hadi ajishtukie na aki initiate , una mtell nilikuwa nakusubiri umalize drama zako, asipo initiate jua hakuwa na wazo na wewe.

.WEWE NI MWANAUME, BEHAVE N ACT LIKE A KING
 
Stress ndo zikufanye mwanaume mzima na digrii yako unaandika hivyo?? Kwenu huna mababu?? Babu zako walikua na wake wangapi?? Wazee walikua hadi na wake 12 na hawakua na stress wewe huyo mmoja hata hujamuoa ajakutia stress namna hio?

Man up.

NB:Nafikiria kuanzisha elimu ya Jando mtandaoni(JANDO UNIVERSITY). Ni aibu hii
Uzuri zamani hakukuwa na mitandao ya kijamii hivyo watu wazee hawakupata fursa ya kujua mambo mengi kwa muda mfupi hata umbea kuupata ilikuwa issue, lakini siku au kizazi hiki yaani hadi mtoto anajua kila kitu wewe unadhani katika hizo ndoa itakuaje yaani ni full of stress maanake kila m2 ni mjuaji hakuna mdogo wala mkubwa wote sawa.
 
Ila kwa ulimwengu huu let to share ukijifungia sana kwenye chungu we will never knw what outside changes
 
Mkuuu, piga chini. Dalili ya mvua ni mawingu, hapo kuna somebody yupo.

Akizinguliwa mazima ndio atakuja kwako kutulia,BUT wew ndio unastahili kupata vilivyo pigwa chini na wengine?? bt nani anaijua kesho??

Mtu anaefikiria na kuwa na plans na wew atakuheshimu na kutokana huwe na doubts juuu yake.

Hapo una waste muda tu, broo.

Sasa wew nenda naye sawa.

Yeye si anakuchukulia poa, mute. Akikucheki, respond, text jibu, akipiga pokea , usilalamike wale nin.

Hadi ajishtukie na aki initiate , una mtell nilikuwa nakusubiri umalize drama zako, asipo initiate jua hakuwa na wazo na wewe.

.WEWE NI MWANAUME, BEHAVE N ACT LIKE A KING
Thanx kwa ushauri mzur mkuu ntaufanyia kaz ubarikiwe sana!
 
Back
Top Bottom