Mkuu utansamehe ila kiukweli huwa Sipend unafiki. Kwanza uandishi wako ni mbovu kupata maelezo. Mpangilio wa maneno ni F, uandishi na spelling F.
Kingine sijapenda ulivyoponda huko chini kua eti yy ni cheti na wewe una bachelor, kwanza tambua love has nothing to do with education. Na nadhani umeponda kupunguza machungu.
Tatu, inavyoonyesha wakati yy anatumwa na mama yake ulikua Dar, na sasa haupo. Dar ni mjini kiongozi,nnasikia kaharufu kabisa kua Binti ulimuhonga na kumshawishi na vijisent Ku pretend kukupenda that time but kiuhalisia alizipenda pesa zako na Si wewe.
Ushauri: Achana nae ,Si Mwanamke wa aina yako huyo,Ongea na Mungu akulete mkeo orelse karibu kwenye chama chetu na nay wa mitego cha kuzalisha ,Lea watoto mama mwache aende zake