Ushauri kwa makampuni ya maziwa tanzania

Ushauri kwa makampuni ya maziwa tanzania

KWANZA
Mfugaji anakamua maziwa mengi na anaongezea maji.

Mnunuzi wa jumla anakuja kununua hapo kisha akifika anayafunga yawe rejareja naye anaongeza maji..

Haya kisha wateja wanakuja kwake kununua hapa mama ntilie ananunua
Akifika mgahawani kwake anachemsha anaongezea maji..!

Na wewe mlaji unakuja kunywa hapo anakupa kwenye kikombe unaona sio kweli unaongezea maji!

Kimsingi hakuna maziwa tunakunywa ila maji meupe
 
Duu. Mkuu mara nyingi kwa mwenye minyoo maziwa kwao ni kama sumu. Jaribu kuanya check up ya manole [ minyoo]
Ni swala la lactose intolerance tu mkuu,so Mimi ni mtindi tu(huu ni muhimu zaidi ya fresh),fresh natumia kidogo tu Kwa chai nikichanganya na kahawa au cocoa,tofauti na hapo natumia nikiwa nimelewa sana au nikiwa nahitahitaji kujitapisha Kwa sababu yoyote Ile ya muhimu!!!
 
Back
Top Bottom