kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,176
- 1,712
Maisha ndio yalivyo, sasa mtu akurupuke akabebe Sinia la Maparachichi apite akitembeza katika Mataa eti ujasiriamali.Kweli mkuu kuna mishe zingine ukikurupuka kuziingilia unaweza ukajikuta unagongwa na gari au unavunja shingo halafu unaacha kutafuta kazi unabaki kujiuguza majeraha.
Hapa duniani mungu aliweka madaraja ya watu akiwa na maana yake.