Einsten
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 919
- 774
- Thread starter
- #21
Nipo nafanya biashara ambazo mates zangu hawamini nikikutanaga nao nilisajiri sana line za simu enzi za 2017. Biashara zenyewe nafanyia sehemu za barabarani kwahiyo wadau huwa nakutana nao sana hapa town..
Kuna Vitu watu wanavidharau ila vinalipa sna mfano Mbeya kwenye soko lao la sido pale kuna viatu vinauzwa kwa bei ya 2000- 4000 alaf vjna wanazifua na kuweka kwenye vbanda vya nje ya soko ukigusa unaambiwa 15,000 au wengne jion wanavimwaga chini. Kuna vijana wa TEKU na Mzumbe ndo nilikuwa nakaaga nao ndo wakaanza kunipa hyo michongo wao walikuw wananunua na kuuza chini jion but mpaka sasa wote wamejiongeza wanachukua wanapeleka kwenye mikoa ambayo bado makolo wengi.
Najua sio kila mtu atakuwa mfanyabiashara au mkulima au mfugaji wengne wataishia tu kuajiriwa na ndio anakuwa ametimiza malengo yake japokuwa unashriki kutimiza malengo ya boss wako yaliokuwa yanamsumbua.