Inaonekana una dharau sana mtoa mada,yaani umekaa ukafikiria ukaona jeshi haliwezi kuwa na walimu wa kuwepo kwa taaluma inayotakiwa kwenye hizo shule ndyo maana unataka mchanganyiko?.
Halafu kuhusu hao walimu ambao ni non military servants hawahusiani kabisa na serikali kwasababu hizo shule mapato yake hayaendi serikalini,sasa iweje serikali iwalipe?