OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Kama tunavyojua mabadiliko yalifanyika juzi katika taasisi ya TAKUKURU kwa Dr. Hosea kuondolewa na Ndg. MLolowa kupewa nafasi ya kukaimu. Naomba nitumie nafasi hii kumshauri Mh. Rais Magufuli sio vyema akamthibitisha Mlolowa. Lazima tukubali working tradition za PCCB ni tofauti kabisa na working tradition za polisi.
Mlolowa miezi michache iliyopita alikuwa RPC Then Director of investigation bureau!..... Infact, itamchukua muda kulearn theory na practize, na process ya corruption paradigm..
Mh. Rais, kwangu mimi naomba nisaidie kutoa ushauri kidogo kwa kukuletea majina mawili ya watu ambao wanaijua rushwa (theory) na process yake kiundani. Na infact ni wabobezi katika corruption theories!... Watu hao ni.....
1. Agustino Shio
2. Jaji Ibrahim Juma
NB: Naruhsu Mjadala!...