Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

Wengine walinyimwa fursa kamanda. Kama unakumbuka Shio ndio alikuwa kaimu DPP ila kwa kuwa Baba Miraji hakumpenda ikabidi amlete Feleshi kutoka Mwanza... Shio ni moja wa watu wenye uwezo mkubwa sana, na hayumbishwi...

Ningependekeza Jaji Dkt Feleshi lakini naona kama hastahili jukumu dogo kama hilo, huyu jamaa ni hazina.
 
Nadharia nadharia nadharia; wasomi na nadharia zisizotekelezeka ndio wezi na mafisadi wakubwa!! Tunasikia dr Hosea ni mtaalamu wa "Evidence theory"; performancs; capital ZERO!!!! Give is a break!!


Kama tunavyojua mabadiliko yalifanyika juzi katika taasisi ya TAKUKURU kwa Dr. Hosea kuondolewa na Ndg. MLolowa kupewa nafasi ya kukaimu. Naomba nitumie nafasi hii kumshauri Mh. Rais Magufuli sio vyema akamthibitisha Mlolowa. Lazima tukubali working tradition za PCCB ni tofauti kabisa na working tradition za polisi.

Mlolowa miezi michache iliyopita alikuwa RPC Then Director of investigation bureau!..... Infact, itamchukua muda kulearn theory na practize, na process ya corruption paradigm..

Mh. Rais, kwangu mimi naomba nisaidie kutoa ushauri kidogo kwa kukuletea majina mawili ya watu ambao wanaijua rushwa (theory) na process yake kiundani. Na infact ni wabobezi katika corruption theories!... Watu hao ni.....

1. Agustino Shio
2. Jaji Ibrahim Juma

NB: Naruhsu Mjadala!...
 
Hii takukuru kama ningekuwa mimi ningeipiga chini yote na kuunda takukuru mpya kabisa na kuajiri upya kabisa. Hawa jamaa ni wala rushwa kuliko hata watu wanaotakiwa kukamatwa. Mwaka 2008 nilikuwa na girlfriend anafanya kazi takukuru siku moja nimempakia kwenye Escudo yangu tukaenda Rose Garden pale kulikuwa na maafisa wenzie kibao wanagawana rushwa. Yeye akapewa laki tatu za mgao, sijui wengine walichukua ngapi. Toka siku ile naamini nchi hii rushwa haitaisha chini ya takokuru, raisi aunde chombo kingine

Ulijuaje alicho pokea hawara wako ni rushwa?
 
Ulijuaje alicho pokea hawara wako ni rushwa?

Mtu mzima ushindwe kujua rushwa? Maafisa wa taasisi inayotakiwa kuwa transparent kuliko zote nchini wanagawana hela kwenye bar weekend bila payroll. Mi nikaambiwa baby nisubiri mara moja nikatulia dakika tano mrembo akarudi na mkwanja
 
acha kukomplocate wewe na vi ngereza vyako hapa.......complex maana yake nini?.......rushwa mtu unatonywa tu mchongo unafanyika mahala.....wewe unaweka mtego unamkamata bas......sasa science inatoka wapi hapo?.... hebu mwache huyo mteuz wa rais afanyekazi....otherwise time will tel.....
kuna kitu kinaitwa follow the money, unakijua wewe? Science must be applied!
 
Back
Top Bottom