Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

Hao unaomshauri Mh. Rais awape nafasi walikuwa kipindi chote cha utawala uliopita hawakuwa na mchango wowote wa kutusaidia kama taifa kupambana na rushwa. Aachwe rais aangalie kwa nafasi yake nani anaweza kupambana na rushwa kwa vitendo na nia thabiti

Wengine walinyimwa fursa kamanda. Kama unakumbuka Shio ndio alikuwa kaimu DPP ila kwa kuwa Baba Miraji hakumpenda ikabidi amlete Feleshi kutoka Mwanza... Shio ni moja wa watu wenye uwezo mkubwa sana, na hayumbishwi...
 
Kama tunavyojua mabadiliko yalifanyika juzi katika taasisi ya TAKUKURU kwa Dr. Hosea kuondolewa na Ndg. MLolowa kupewa nafasi ya kukaimu. Naomba nitumie nafasi hii kumshauri Mh. Rais Magufuli sio vyema akamthibitisha Mlolowa. Lazima tukubali working tradition za PCCB ni tofauti kabisa na working tradition za polisi. Mlolowa miezi michache iliyopita alikuwa RPC...... Then... to Director of investigation bureau!..... Infact, itamchukua muda kulearn theory na practize, na process ya corruption paradigm..

Mh. Rais, kwangu mimi naomba nisaidie kutoa ushauri kidogo kwa kukuletea majina mawili ya watu ambao wanaijua rushwa (theory) na process yake kiundani. Na infact ni wabobezi katika corruption theories!... Watu hao ni.....

1. Agustino Shio
2. Jaji Ibrahim Juma

NB: Narusu Mjadala!...

TAKUKURU inahitaji iwe huru kwa kuangaliwa na utendaji wake wa kazi.pia raisi akiteua mtendaji mkuu athibitishwe na BUNGE.Rais asiwe na mamlaka ya kutengua uteuzi wake kama ilivyo kwa CAG.vinginevyo vilio vya kutafuta mtu anayefaa na kushindwa kazi vitaendelea! that organ hands is tied with the president.
 
sijaelewa,na zaidi pale ulipotoa hadi majina,uongozi siyo hizo theory bali kwanza kuichukia rushwa.
 
TAKUKURU inahitaji iwe huru kwa kuangaliwa na utendaji wake wa kazi.pia raisi akiteua mtendaji mkuu athibitishwe na BUNGE.Rais asiwe na mamlaka ya kutengua uteuzi wake kama ilivyo kwa CAG.vinginevyo vilio vya kutafuta mtu anayefaa na kushindwa kazi vitaendelea! that organ hands is tied with the president.

Uko sahihi Mkuu...... Safi sana, mawazo kama haya ndio tunahitaji..... Kudoz...
 
Kama tunavyojua mabadiliko yalifanyika juzi katika taasisi ya TAKUKURU kwa Dr. Hosea kuondolewa na Ndg. MLolowa kupewa nafasi ya kukaimu. Naomba nitumie nafasi hii kumshauri Mh. Rais Magufuli sio vyema akamthibitisha Mlolowa. Lazima tukubali working tradition za PCCB ni tofauti kabisa na working tradition za polisi.

Mlolowa miezi michache iliyopita alikuwa RPC Then Director of investigation bureau!..... Infact, itamchukua muda kulearn theory na practize, na process ya corruption paradigm..

Mh. Rais, kwangu mimi naomba nisaidie kutoa ushauri kidogo kwa kukuletea majina mawili ya watu ambao wanaijua rushwa (theory) na process yake kiundani. Na infact ni wabobezi katika corruption theories!... Watu hao ni.....

1. Agustino Shio
2. Jaji Ibrahim Juma

NB: Naruhsu Mjadala!...

lowasa alimshauri kikwete hosea anafaa takukuru matokeo yake mliyaona
 
Tiagi masamaki anatosha sana kwenye hiyo nafasi...........
Maana amekuwa internal audit Tra for 30 years then wakampandisha kuwa kamishina forodha, kwa hiyo anajua mianya ni rahisi kuithibiti rushwa
 
Huwezi kuzuia rushwa kama hujui inavyokuwa practized. Never.....

Ndio dhana nzima ya theories of corruption...... Uchunguzi wa rushwa ni very complex process, huwezi kuiingilia kichwa kichwa... It needs science on it

acha kukomplocate wewe na vi ngereza vyako hapa.......complex maana yake nini?.......rushwa mtu unatonywa tu mchongo unafanyika mahala.....wewe unaweka mtego unamkamata bas......sasa science inatoka wapi hapo?.... hebu mwache huyo mteuz wa rais afanyekazi....otherwise time will tel.....
 
Rais anajua anachokifanya.uzuri rais wetu anasoma sana kabla ya kufika maamuzi.je hao mnaopendekeza wamelifanyia nini nchi yetu katika kupambana na matatizo ya rushwa nchini licha ya kushiba theories zake
 
TAKUKURU haikuwa katika mapambano ya kupiga vita rushwa kontena zinatoka bandarini wao wapo wapi? Mikataba ya hovyo inaingiwa wao wanawasafisha watuhumiwa!!! mpaka SFO Uingereza ndiyo wanatushitua mfano chenji ya radar na hivi karibuni Stanbic!! hivi kukamata wala Rushwa barabarani wanatakiwa wakasome wapi??!
 
Hebu angalia CV ya kiongozi aliyepigwa chini
inavyotisha :-

CURRICULUM VITAE:

NAME😀r EDWARD GAMAYA HOSEAH
DATE OF BIRTH: JULY 8th, 1958
MARRITAL: MARRIED
EMPLOYER😛REVENTION AND COMBATING OF CORRUPTION BUREAU, Kalenga/Urambo Rd, P.O Box 4865 Dar Es salaam
EDUCATION:
PhD (LAW), UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, TANZANIA (2007)
LL.M, QUEEN?S UNIVERSITY, KINGSTON, ONTARIO, CANADA (1989)
LL.B (Hons.) UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (1985)
Certificate on Economics of Corruption, University of Passau, Germany (2007)
Certificate on Governance, Ethics and Anti-Corruption Reforms,
UNIVERSITY OF BIRMINGHAM, UK (2003)
Certificate on Core Course on Controlling Corruption: Towards an Integrated Strategy, WORLD BANK INSTITUTE, WASHINGTON, DC (1998)
Diploma on Conflict Resolution, TANZANIA CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS (1997)
WORK EXPERIENCE:
Director General, (26/11/2006 ? To date)
Ag. Director General (6/11/2006 ? 26/11/2006)
Director of Investigations, (22/7/1995 ? 6/11/2006)
Advocate of the High Court and Courts Subordinate (1998 ? To date)
Member, East Africa Law Society (1998 ? To date)
Chairperson, Deceased Advocates Trust Fund (1998 ? 2001)
Chairperson, Tanzania Conflict Resolution Centre, (1997 ? To date)
Part time Lecturer in Law, Centre For Foreign Relations, (1995 ? 2006), University of Dar es Salaam, Faculty of law (2004 ? 2006)
District Registrar of High Court (1994 ? 1995)
Senior Resident Magistrate (1990 ? 1995)
Chief of Training, Research and Statistics Officer, Judiciary (1987 ? 1990)
Legal Secretary to Chief Justice (1990 ? 1994)
Resident Magistrate (1986 ? 1995)
Board Member, International Society For the Reform of Criminal Law (1996 ? To date)
Chairperson, Training Committee, Southern Africa Forum Against Corruption (1998 ? 2006)
Member, UN Group of Experts on developing an Anti- corruption legislation Model (Buenos Aires, Argentina, 1997)
Board Member, Transparency International, Tanzania Chapter (1997 ? 2006)
Visiting Scholar, Northwestern University, Law School, Chicago, Illinois (2004 and 2006)
Consultant, Government of Zambia (ACC) on governance and corruption (2005/06)
Member, UN Group of Experts on preparing a Technical Guide for the Implementation of UNCAC, Vienna, Austria, 2006
Consultant, UN Economic Commission for Africa (ECA) on Deepening the Effectiveness of Judiciary in Africa (2006/2007)
President, East African Association for Anti-Corruption Authorities, EAACA (2008-2010)
Associate Member of Rutgers Institute on Corruption Studies(RICS), Centre for Law and Justice, Newark, NJ (2009 ? To date)
Board Member, Advisory Board of UNDP Global Programme on Anti-Corruption
For Development Effectiveness (PACDE) 2008 ? 2011
Chairman, SADC Anti-Corruption Authorities, SAFAC (2010/11)
Board Member, African Union Advisory Board on Corruption (2011/12)
Visiting Scholar, Duke Law School, North Carolina (2011)
Head of Delegation, Conference of States Parties, UNCAC (2010-2010
PUBLICATIONS:
1.Corruption in Tanzania: The Case for Circumstantial Evidence, Cambria Press, New York, 2008
2.Grappling with the Epitome of Corruption in Tanzania: The Case for Circumstantial Evidence, PhD (law) University of Dar es Salaam, Tanzania (2007)
3.A Study of the Judiciary and Rule of law in Tanzania with Particular Reference to Bail, (1989), LL.M, Queen?s University, Kingston, Ontario, Canada
4.Corruption: The Fertile Ground for Conflicts in Tanzania, APPRAISING CONFLICTS IN TANZANIA: Education, Corruption and Crime, Tanzania Centre for Conflict Resolution, AMREF, Dar Es Salaam, 1998
5.Essays on Combating Corruption in Tanzania and the Basic Legal Principles, 1999, EcoPrint, Dar es Salaam
6.Editor, PCB Prosecutors? Manual, Prevention of Corruption Bureau, Dar es Salaam, 2002
7.Editor, PCB Manual 1998/99, Prevention of Corruption Bureau, Dar es Salaam, 1999
8.The Accused?s Right to Silence with Specific Reference to Tanzania, New Trends in Criminal Investigation and Evidence, J.F Nijboer & J.M Reijntjes (Eds), Intersentia, Antwerpen, 2000
9.The IMF Units of Accounts, It?s lending Conditions and Their Effects on Developing Countries, (1984), LL.B, University of Dar Es Salaam
10.The Role of the Third Branch of Government towards the Realization of Human Rights in Africa: An Overview, African Society of International and Comparative law Journal, (1991), London
11.The Re-Examination of the Concept: A Trial within Reasonable Time, Journal of Management, Mzumbe, April 1994, Morogoro, Tanzania
12.The Public Leadership Code of Ethics Act: A Critical View, The National Integrity System in Tanzania, 1997, ODA/IBRD/World Bank, Washington, Arusha ii, pp.65-69
13.The Role of Media and Civil Society and Combating Corruption in Tanzania, Journal of Management Development, Vol.9, Issue no. 2, August 1997, IDM, Morogoro, Tanzania
14.The Prevention of Corruption Bureau and Electoral Corruption in Tanzania, Chapter 2 in MULTIPARTY ELECTIONS AND CORRUPTION IN TANZANIA, Edited by Samwel E. Chambua, et al, Dar Es salaam University Press Ltd, 2002
15.The Freedom of Conscience and Religion: Some Reflections, the Tanzania Lawyer, June ? October 2002 Issue, Tanganyika Law Society Journal, Central Printing Works, Dar es Salaam.
16.Implementing the SADC Protocol against Corruption: Recommendations and Draft Rules of Procedure for the SADC Ant-Corruption Committee, Human Rights Trust of Southern Africa, Harare, Zimbabwe, 2005
17.Editor, EAACA Manual on Prevention and Investigations, DUP, Dar es Salaam, 2009
18.Co-Authored with Suleiman Ngware, Corruption and Struggle for Development in Tanzania, Dar es Salaam University Press, 2010
AWARDS:
Queen?s University Award (1988)
Medal Award from The International Society for the Reform of Criminal law (2002), Charleston, South Carolina, USA
 
Ingekuwa na maana zaidi kama ungeweka wasifu wao. Hao ni wale unaowajua wewe, kumbuka pia wengine watakuwa na majina au mapendekezo ya watu ambao wanaweza kuwa na weledi zaidi ya hao na hivyo kuwa wasifu wao upo wazi ili kutoa nafasi kwa wachangiaji kuchambua. Kama mchangiaji moja hapo juu alivyosema inaweza kabisa kwa sasa siyo theories na uzoefu pekee vinavyotakiwa bali dhamira na uthubutu wa kuweza kufanya maamuzi ya kulenga kupunguza au kuangamiza kabisa rushwa.
 
Hii takukuru kama ningekuwa mimi ningeipiga chini yote na kuunda takukuru mpya kabisa na kuajiri upya kabisa. Hawa jamaa ni wala rushwa kuliko hata watu wanaotakiwa kukamatwa. Mwaka 2008 nilikuwa na girlfriend anafanya kazi takukuru siku moja nimempakia kwenye Escudo yangu tukaenda Rose Garden pale kulikuwa na maafisa wenzie kibao wanagawana rushwa. Yeye akapewa laki tatu za mgao, sijui wengine walichukua ngapi. Toka siku ile naamini nchi hii rushwa haitaisha chini ya takokuru, raisi aunde chombo kingine
 
Mtoa post umekula maharage ya wapi vile acha kzishi kimazoea mtumishi wewe unazani rais hakuwaona hao?,au unazani rais alikulupuka?, mijitu mingine shida tupu:angry:
 
Haya mambo ya theories ni shida tu, kwangu mimi muhimu ni udhubutu na kiongozi husika asiwe sehemu ya rushwa.
 
Watu wanajidai washauri sasa mara cjui theory, uchunguzi ni uchunguzi tu uwe wa rushwa au wa kufumania msitake kutuletea theory zenu hapa
 
Kama tunavyojua mabadiliko yalifanyika juzi katika taasisi ya TAKUKURU kwa Dr. Hosea kuondolewa na Ndg. MLolowa kupewa nafasi ya kukaimu. Naomba nitumie nafasi hii kumshauri Mh. Rais Magufuli sio vyema akamthibitisha Mlolowa. Lazima tukubali working tradition za PCCB ni tofauti kabisa na working tradition za polisi.

Mlolowa miezi michache iliyopita alikuwa RPC Then Director of investigation bureau!..... Infact, itamchukua muda kulearn theory na practize, na process ya corruption paradigm..

Mh. Rais, kwangu mimi naomba nisaidie kutoa ushauri kidogo kwa kukuletea majina mawili ya watu ambao wanaijua rushwa (theory) na process yake kiundani. Na infact ni wabobezi katika corruption theories!... Watu hao ni.....

1. Agustino Shio
2. Jaji Ibrahim Juma

NB: Naruhsu Mjadala!...

Nikuulizeeeee.....kabla hajawa RPC unadhani alikuwa wapi? Akifanya nini? Umesoma CV yake ukaona academic credentials zake?
 
Back
Top Bottom