mimi sielewi mizimu inapataje nguvu. ndugu yetu walihangaika kwa waombezi wote hakuna kitu mpaka huyo Mwamposa.
alipopelekwa Meru wazee walicheka sana. chap wakafanya mambo akakaa sawa.
sasa huwa nashindwa kuelewa ina maana hiyo nguvu ya maombezi inashindwa na mizimu? wajuzi nipeni majibu.
cc Mshana Jr