Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,072
inawezekana wewe ndio MjingaYaani katika wapuuzi wewe ni namba moja,unaacha kumtegemea Mungu, unategemea mizimu,ndio maana mikosi haikuishi, maana unaujinga mwingi kichwani, we ulizaliwa na mizimu!? Pumzi unayovuta ni ya mizimu!? Du hii inchi ndio maana ina laana... Ina wajinga wengi mno..
Hakisikiki,hakionekani,hakihisiki,hakinusiki,Nikisema hali namanisha “state” of being mortal or immortal, its not an object or organ that you may see or touch.
Mungu ni nini? Au ni nani? Na hiyo mizimu ni nini?Yaani katika wapuuzi wewe ni namba moja,unaacha kumtegemea Mungu, unategemea mizimu,ndio maana mikosi haikuishi, maana unaujinga mwingi kichwani, we ulizaliwa na mizimu!? Pumzi unayovuta ni ya mizimu!? Du hii inchi ndio maana ina laana... Ina wajinga wengi mno..
Kwahyo simba hana roho? Sasa kinachomfanya anaishi ni nini?Nipo kiroho na kimwili ndio maana unaambiwa binadamu ni kiumbe wa kipekee sana.
Unapoelekea unajichanganya mdogo wangu anza kusoma upya na soma kwa makini majibu yangu.Hakisikiki,hakionekani,hakihisiki,hakinusiki,
Sasa kimejulikana vipi kama kipo?
Wewe una mtazamo wako ambao unauamini kwaiyo usimchoshe jamaa kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu...Huamini mizimu full stopUnajua maana ya hali,? Kabla sijakupinga au kukubalia basi niambie unaposema hali unamaanisha nini?
Yaani unajuaje hii ni hali na hii si hali au nikipimo gani kinachotumika kuijua hali?
Yeye hakusema anaamini angesema anaamini wala nisingeweza kubishana nae kabisa.Wewe una mtazamo wako ambao unauamini kwaiyo usimchoshe jamaa kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu...Huamini mizimu full stop
Terminology hizo zinaeleweka, sasa wewe unachokosea nikwamba, unataka tuamini kuwa immortal ni roho, sasa na hiyo roho umekataa kuwa ipo mwilini ukaniambia ni hali, sasa hali ni nini? Ukaniambia haishikiki,haionekani , ndo nikakuuliza mnatumia kipimo gani kujua kuwa roho ipo?Unapoelekea unajichanganya mdogo wangu anza kusoma upya na soma kwa makini majibu yangu.
Hizi terminology mortal na immortal zimekuchanganya sana
Kutana na mababu wakuelewesheNashukuru mangi, mbuzi wa jina maana yake nini?
Kwa nini asichinjeAchinje wapi hizo madhabahu anazijua unafikiri ni rahisi hivyo
Eeeh kama mimiBila shaka wewe ni mkibosho
Ndio maana nikakwambia tatizo lako unasoma haraka haraka.Terminology hizo zinaeleweka, sasa wewe unachokosea nikwamba, unataka tuamini kuwa immortal ni roho, sasa na hiyo roho umekataa kuwa ipo mwilini ukaniambia ni hali, sasa hali ni nini? Ukaniambia haishikiki,haionekani , ndo nikakuuliza mnatumia kipimo gani kujua kuwa roho ipo?
....either ukabaliane na mimi hizo ni dhana ambazo hazina uthibitisho wowote kuhusu uwepo wake.
Marangu mkuuBila shaka wewe ni mkibosho
Nina amini katika mizimu ndio maana nipo tayari kufanya niliyoyaorodhesha hapo juu.Yeye hakusema anaamini angesema anaamini wala nisingeweza kubishana nae kabisa.
Sindio hiyo roho ipo sehemu gani na wakati unapewa hiyo roho ulipewa kwa namna gani?Ndio maana nikakwambia tatizo lako unasoma haraka haraka.
Nilikwambia binadamu tumepewa roho ambayo haifi na mwili ambao unakufa ambapo kwa kizungu unatumia terminology za immortal na mortal.
Labda kama unataka uanzishe mada mpya kupinga uwepo wa roho kwa mwanadamu.
Hao ulio wataja hapo chini sijui kwa waamini siku ya mwisho wataenda wapi!Mila ni muhimu mangi kwa ambaye hataki aache, weka mshimbika wa mbege na maziwa mtindi afu chinja mbuzi sua dume......kule kwa babu yako wa jina.....wanasema kachinje mburu ya rina....chinja mbuzi ya jina....
Wachina, wahindi, waturuki, waafrika kusini, wamarekani wale wa asili, waisrael, nigerians, wanaamini rituals