Isaya wa njombe
Senior Member
- Apr 2, 2023
- 192
- 390
kwema chief naomba no yako pm nikuulize machache• Mizimu ni ovyo sana, nimeteswa zaidi ya miaka 15, kila aina ya mikosi ilikuwa juu yangu,,, mpaka pale nilipo kubali mashart yao....
• kutuliza Mizimu inafanyika na wazee wa kimila katika eneo husika(nyumbani).
