Grace glory
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 401
- 551
Ndugu Walio tutangulia wapi?Ndugu zetu waliotutangulia baba,mama, bibi ,babu
Ndugu Walio tutangulia wapi?Ndugu zetu waliotutangulia baba,mama, bibi ,babu
Waliokufa katika mwili lakini wazima kiroho.Ndugu Walio tutangulia wapi?
Oneni hii kenge, Mungu alikuzaa wewe? Au ulizaliwa kupitia mama na baba ambao wakifa tunawaita mizimu ndugu zetu wa karibu, au wewe umebeba makamasi hapo kichwani ukisikia neno mizimu unapagawa unaona kama majini, mapepoYaani katika wapuuzi wewe ni namba moja,unaacha kumtegemea Mungu, unategemea mizimu,ndio maana mikosi haikuishi, maana unaujinga mwingi kichwani, we ulizaliwa na mizimu!? Pumzi unayovuta ni ya mizimu!? Du hii inchi ndio maana ina laana... Ina wajinga wengi mno..
Haujajibu swali walio tutangulia wapi?Waliokufa katika mwili lakini wazima kiroho.
Nashukuru mangi, mbuzi wa jina maana yake nini?Mila ni muhimu mangi kwa ambaye hataki aache, weka mshimbika wa mbege na maziwa mtindi afu chinja mbuzi sua dume......kule kwa babu yako wa jina.....wanasema kachinje mburu ya rina....chinja mbuzi ya jina....
Wachina, wahindi, waturuki, waafrika kusini, wamarekani wale wa asili, waisrael, nigerians, wanaamini rituals
Kwahyo mizimu ni nini? Ungewaelezea maana ya mizimu usingekutana na hayo maswaliOneni hii kenge, Mungu alikuzaa wewe? Au ulizaliwa kupitia mama na baba ambao wakifa tunawaita mizimu ndugu zetu wa karibu, au wewe umebeba makamasi hapo kichwani ukisikia neno mizimu unapagawa unaona kama majini, mapepo
Binadamu amepewa roho ambayo ni immortal na mwili ambao ni mortal, kwamba mwili utakufa cell na organ nyingine won't function anymore.Haujajibu swali walio tutangulia wapi?
Watu waliokufa, wamekufa kabisa, unavyosema kimwili na wazima kiroho unamaanisha hawajafa, sa kwanini tunasema huyu mtu amekufa? Si tungesema huyu mtu ni mzima? Na roho nini kama sio mtu? yenyewe ni kiungo gani katika mwili ambacho chenyewe hakifi,?
Kuna wahusika ndo wanaofanya hizo kazi sio kila mtuNapitia changamoto kuhusiana na maswala ya mizimu, nataka ninunue mbuzi, mbege na vitu vyingine vitakavyotumika kwenye mila.
Nipo mkoa mwingine sipo moshi, ila changamoto nyingine kule kijijini wazee waliacha mila baada ya kushawishiwa na ndugu zetu wasomi uchwara waliobahatika kupata pesa na kukimbilia kwa mwamposa, ila mila hazikuvunjwa zingatieni hili wakuu kwahiyo bado tupo kwenye mikataba na mizimu.
Ombi langu ni kwamba nitawezaje kuwapooza hawa wazee wangu(mizimu) kwa kuchinja mbuzi angali sipo moshi na kule kuna changamoto nilizozitaja hapo juu wale wazee hawatakubali kirahisi.
kuna mtu kanishauri niende moshi nikachukue udongo alafu nirudi mkoani nichinje mbuzi na kuomba mizimu je hii itafaa?
Naombeni ushauri wachagga wenzangu.
Wale wafia dini naombeni mpite kimya kimya kama umeona kinyesi kibichi.
Sio kwamba hajui, mizimu ni ndugu au wazazi wa ukoo flani waliokufa, kufa nikimaanisha hatupo nao kimwili ila koroho tupo nao.Kwahyo mizimu ni nini? Ungewaelezea maana ya mizimu usingekutana na hayo maswali
Ni kweli kaka nilikuwa nataka majibu kama haya.Kuna wahusika ndo wanaofanya hizo kazi sio kila mtu
Huwezi fanya mambo ya mizimu kienyeji
Achinje wapi hizo madhabahu anazijua unafikiri ni rahisi hivyoMila ni muhimu mangi kwa ambaye hataki aache, weka mshimbika wa mbege na maziwa mtindi afu chinja mbuzi sua dume......kule kwa babu yako wa jina.....wanasema kachinje mburu ya rina....chinja mbuzi ya jina....
Wachina, wahindi, waturuki, waafrika kusini, wamarekani wale wa asili, waisrael, nigerians, wanaamini rituals
Kila jamii inataratibu zake hazifananiMcheki Dr Riziki ndio mtaalamu wq mizimu atakusaidia
Ye mtaalamu wa mizimu ya kiafrika kwake kabila halina mipaka,maana mizimu yote boss wao ni mmoja.Kila jamii inataratibu zake hazifanani
Running from your origin is craziness, they struggle seeking for the other power that doesn't belong to themPole Sana Ila ndugu zako wasomi Elimu imewakomboa they are no longer stumble in damn
Huyo alikudanganyaYe mtaalamu wa mizimu ya kiafrika kwake kabila halina mipaka,maana mizimu yote boss wao ni mmoja.
Nipe muongozo pm ipo wazi au hata hapa hapa kwa faida ya wengine.Ancestors curses are really, kuna njia za kuvunja laana za ukoo bila hayo matambiko..ninaweza kukuongoza namna ya kuyavunja.
Na pipa lako kichwani baiki ya phoenix ya miaka hio ukiendesha hio baiki unaonekana una hela kishenzi, enzi hizo bodaboda na Bajaj hakuna kabisa tena ni zilikua za kuhesabuNimepita kimya kimya