Vampiree
JF-Expert Member
- Jun 29, 2020
- 530
- 1,362
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza apo juu.
Huu uzi ni kwa Ajiri ya ushauri juu ya mapenzi, kama unamatatizo yoyote kuhusiana na MAPENZI . Yamekuchanganya na uelewi ufanyeje.
Toa kisa chako hapo [emoji116]tukupe ushauri. Kama umeachwa au una mtu unampenda na ujui umuingiaje ili umueleze kuwa unampenda.
Eleza tukupe plans za kibaharia [emoji116]
KUTOKA KWA MDAU ANAOMBA USHAURI
Kwanza kabisa naombeni mnikaribishe mimi kijana wenu kwenye jukwaa hili.
Mimi ni mgeni kabisa hapa JF
Naomba niwashirikishe mkasa wangu huu ili mnishauri jinsi gani ya kuninusuru.
Nina mpenzi wangu wa kike niliyedumu nae kwenye mahusino huu ni mwaka wa 7 (nilidumu nae tangu nikiwa kidato cha 5, nikiwa chuo, mpaka naingia kwenye ajira).
Yeye baada ya kumaliza kidato cha 6 hakufauru, ikamlazimu aende kusoma chuo kwa level ya diploma (kwa sasa amemaliza chuo level ya diploma anajiandaa kwaajili ya kuingia level degree kwa mwaka huu wa masomo 2020/21)
Mwaka jana jana mwanzoni ndio nimeingia kwenye ajira baada ya kufanya temporary job kadha wa kadha
kwenye maisha yetu ya mahusiano tumepitia changamoto kadha wa kadha, na muda mwingi tumekuwa sio watu wa kukaa sehemu mmoja kwasababu ya majuku ya kila mmoja wetu, kikazi kwa upande wangu na kimaosmo kwa upande wake. lakini kwenye communication uwa zinatuweka karibu sana tunawasiliana sana sana (kwa njia ya simu).
ni watu ambao tuna aminiana na kujupanga mambo yetu mengi pamoja.
Nikili pia ni binti ambaye tunapendana, na mimi nampenda sana uyu binti.
Ni binti ambaye hajawai kuniomba pesa kabisaa, ila mimi uwa namsaidia na kumpa zawadi kadha wa kadha kama mpenzi wangu.
Tatizo lilianzia hapa:
mwaka huu mwanzoni mwa mwezi wa 3 tulipanga swala zima la kuona mimi na yeye, na tulipanga niende kujitambulisha kwao mwaka huu mwezi wa 10, na tukakubaliana ivyo kwa upande wangu nilishirikisha baadhi ya ndugu zangu kwenye swala ilo
note: familia yake nawasiliana nao vizuri kabisa (mama yake, dada yake na kaka yake).
Mnamo mwenzi wa 5, mwaka huu communication kati yangu mimi na yeye ilianza kupungua ghafla, nikahisi kitu kutokaka na ule utofauti wa mawasiliano kwake, nikataka kujua nini kinamsumbua, akadai kuwa yupo sawa, ila kwa kuwa namjua nikajua kuna kitu, akili yangu ikaenda moja kwa moja kwa madhanio kuwa uenda amepata mtu mwingine, nilifanya juu chini anieleze tatizo nini ila mwenzangu hakuwa tayari na majibu yake ni kuwa yupo sawa.
Ila kadri siku zilivyozidi kwenda nikaona mabadiliko makubwa kwenye mawasiliano, ilikuwa ni mimi ndio namtafuta tuu, ikabidi nichukue maamuzi ya kumueleza ivi, nilimuambia kuwa sikuzoea utaratibu huo mpya wa maisha yetu, kama anaona amepata mtu mwingine basi mimi nimuache anedelee na maisha mengine, nilimueleza kuwa ngoja nikae pembeni kwanza kama akiona anaweza nishirikisha ilo tatizo ambalo kwa upande wangu naona lipo ila yeye anasema hakuna kitu basi atafanya ivyo, ila kama hatokuwa tayari basi nimtakie kila lakheri kwenye maisha yake na hawaeleze nyumba kwao kuwa sitaweza kwenda tena kwa minjili ya mambo ya ndoa maana kwao walishapata taarifa kuwa nitaenda.
Baada ya hapo nilisitisha mawasiliano nae kabisaaa, zilipiti siku 5 pasipo kuwasiliana kabisaa (haikuwahi kuwa ivyo)
Siku ya sita alinitafuta kwa salamu, na kudai amenimiss sana kuna jamabo anataka kunishirikisha ili mapenzi yetu yarudi, yes ofcoz nilitaka sana kujua ni jambo gani zito kisi icho ambalo linfanya mtu anakuwa katika situation ya kufifisha mawasilino na kukataa nyuma kunishirikisha, yule binti alinieleza ana mimba ya mtu mwingine, aliendelea na kusema uja uzito ule ni wa week 5, aliendelea mbele zaidi na kusema kuwa ni jambo limetokea kwa bahati mbaya ata yeye pia hakutegemea, akanieleza kuwa anataka mimi ndio nimuoe, na hakuna chaguo lingine zaidi yangu (aya ni maneno yake mwenyewe, mimi nanukuu tu) wakati anaongea ivyo mimi nilikuwa nimepigwa na butwaa tu nisijue anachoongea ni kweli au sio kweli.
Aliniomba nimsaidie kitu, alinieleza kuwa anaomba nimsamehe kwa yaliotokea, akanieleza kuwa yupo tayari kutoa ujauzito ule ili aweze kuishi na mimi tuu (kumbuka wakati anaongea ivyo nilibaki kama mtu niliyepigwa shoti za umeme nisielewe chochote cha kusema).
nilijisema moyoni uenda ananijaribu tu ili aone ntafanyaje, uenda sio kweli, nilimueleza kama ana mimba kweli basi alee tu iyo mimba asijaribu kutoa, na nilijaribu kumueleza kuwa atabaki kuwa rafiki yangu tuu wa kawaida na sio vinginevyo na kama kuoa ntaoa kwingine anaweza kuwaeleza kwao kuwa sitaweza kwenda tena.
ila nilimuhakikishia kuwa ataendelea kuwa rafiki yangu, asijari kabisa na kama kuna msaada wowote atautaka ntampatia ila sio kuwa wapenzi (wakati naongea ivyo, moyoni nilikuwa najua uenda ni muongo tuu)
aliendelea kunisisitiza kuwa yeye mimba ile hawezi kukaa nayo kabisa, coz ata uyo mwenye iyo mimba hajawai kuwa na mipango na maisha nae ata kidogo. nilimueleza kama atatoa huo ujauzito kamwe na katu asije akanishirikisha kwenye mambo ayo ata punje..
tuliendelea na mawasiliana uku nikiwa najiuliza mambo mengi sana kichwani kama ni kweli au sio kweli, nilimuuliza iyo mimba amemuambia nani kwako anajua akaniambia amemueleza dada yake, na mimi nilimuuliza dada yake dada yake akanieleza kuwa ata yeye amemuambi ila anaona kama anadanganya tuu. wala nisiwe na wasiwasi
baada ya kupita siku 5 tangu kuambiwa iyo hali aliyonayo, yeye ndio alikuwa ameongeza mawasiliano zaidi na mimi nikiwa napoteza zaidi mawasiliano nae, (kumbuka tangu siku aniambie
kuwa ana ujauzito alikuwa ni mtu wa kunitafuta sana sana uku mimi nikiwa naanza kupoteza upendo kwake kiukweli), siku moja usiku alinipigia simu akaniuliza kwao naenda kama tulivyokuwa tumepanga, nilimjibu kuwa haitawezekana tena maana tayari ameshapata mimba ya mtu mwingine kwaiyo asahau kuhusu mimi kumuoa yeye, alisema mbona yeye hana ujauzito ten wowote maana ameshatoa (yani alikuwa anajibu simple kabisa, nilipata mshtuko sana), nikawaza mambo mengi sana mojawapo ya mambo ayo ni 1. kama alikuwa na ujauzito na ametoa mbona kila siku naongea nae vizuri kabisa pasipo shida yeyote ile,? 2. mbona amekuwa mtu ambaye hana wasiwasi wowote yaani yupo kawaida tu kama tulivyokuwa mwanzani?,
aliendelea kunisisitiza kuwa kwa sasa hana tena mimba ameshatoa, na yupo tayari mimi kumuoa, nikamuambia No siwezi kuoa mtu aliyetoa mimba coz umetenda dhabi kubwa sana katika maisha yako,
wakuu uyu binti nilikuwa nampenda sana sana sana, yeye anajua nilikuwa nampenda, ndugu zake wanajua nampenda mno mdogo wao mpaka hapa ninapoongea na ninyi nimekuwa simuamini tena, upendo wangu kwake umepungua sana, moyo wangu umepondeka sana.
amekuwa akinitafuta nakuwa mgumu sana kumpa ushiriano, amekuwa mtu wa kunilalamikia sana kuwa sionyeshi hisia zozote nzuri kwake ukilinganisha na zamani, jana usiku mama yake mzazi amenipigia simu kuniuliza ni lini naenda kumsalimi, nilimueleza ntaenda mama wala asijali.
nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kichwani, uyu binti ni kweli mimba alikuwa nayo na ametoa au si kweli, najiuliza nijikaze nisonge nae mbele au niachane nae tu, umri wangu ni miaka 30 kwa sasa na yeye binti ana umri wa miaka 24.
Nawaza niende kwao au niachane nae, kuna muda nikiwa naongea nae nikimuuliza kitu ata akijibu uwa naona ni muongo, leo asubuhi niliitaji kumuuliza kitu flani flani (kinahusina na mambo ya taaluma tu, na ndio amesommea) alichelewa kupokea simu nikahisi tofauti kabisa, amekuwa mtu wa kuwa na mimi bega kwa bega kwa kipindi iki, amekuwa mtu wa kuninyenyekea sana kipindi iki ukilinganisha na kipindi zimetokea tofauti zetu, aemkuwa mtu wa kunisikiliza nasema nini na nataka nini, ila moyo wangu umepasuka pasuka,
nisiwachoshe na maneno mengi, naombeni ushauri wenu wakuu, uyu binti kulingana na maelezo hapo juu nikaze moyo niendee nae au nimuache aende ma maisha yake nami niende na yangu