Shukran mkuu,
• Kama ni ukoo wa kabila moja ni Sawa, maana Mizimu inaombwa hasa hasa makaburini( ya ukoo, kuyasafisha, kuchinja wanyama kwa ajili ya damu, baada ya hapo mtaludi nyumbani ) sehemu walipo kuwa wanaishi bibi na babu(kama walisha tangulia mbele za haki,).
• Mimi hii kazi kila misho wa mwaka lazima nifanye,
• Mizimu ni ulizi mkubbwa sana katika maisha wakikupenda na ni ngumu kuwatoa kupitia imani za kawaida.
• Faida niliyo iona kwenye Mizimu ni kwamba:-
(1) ukilala usiku wanakuletea njozi ya Maisha ya kesho yake itakuwaje katika harakati zako za utafutaji.
(2) wachawi watakuchukia sana maana hawezi kukuroga hata waungane, maana mchawi hawezi kuroga bila kuomba Mizimu husika ya ukoo wenu.
(3) mambo hunyooka kila utakacho gusa kwenye biashara kupata hasara ni mara chache sana.