Ushauri kubadili kada

Ushauri kubadili kada

Endelea na diploma ya ualimu kwasababu tayari una certificate. Hakikisha unasoma Diploma yenye masomo. Ukimaliza diploma na ukapata kuanzia GPA ya 3 kwenda juu tumia cheti cha diploma kujiunga na degree katika moja ya kozi zifuatazo:

Bachelor of Arts in Project Planning and Management or Community Development

Bachelor Degree in Records, Archives and Information Management

Bachelor Degree in Adult Education and Community Development

Bachelor Degree of Business Administration in Human Resources Management

Bachelor Degree in Business Administration

Bachelor Degree in Community Development

Bachelor of Statistics

Bachelor of Social Work

Kama unapenda kuajiriwa usiache kazi yako ya ualimu bali ukisha hitimu bachelor yako anza kufanya interview mbalimbali huku unafanya hiyo kazi yako. Mwisho kabisa utabahatika kupata nafasi mpya. Hapo ndio acha

Hakikisha unasoma kitabu cha TCU guide book kupata mwongozo zaidi.
Shukran
 
Back
Top Bottom