Ushauri kubadili kada

Ushauri kubadili kada

Pambana humo humo wenzio wanaingia mpaka kwenye Kaushal damu na maisha yanasonga 😂😂😂
 
Mtu akisema anacertificate ya koz za afya au Sheria hata engineer naona kidogo alicheza akiwa shule lkn sio sanaaaaa lkn Certificate ya ualimu hapana kwakwel japo ni kada yangu na nmesomea
 
We huna akil co kila alieanzia chet alifel kil mt anasabab zake mshamba ww
Kwenda zako huko, yaan uanze certificate ya ualimu, huku ukiacha za kada ingine? Ulipata div 4 O level, tena D za kisw, engl, civ na hist,
Ukute hata sayansi hukusoma, mxxxxieeeew.
 
Endelea na diploma ya ualimu kwasababu tayari una certificate. Hakikisha unasoma Diploma yenye masomo. Ukimaliza diploma na ukapata kuanzia GPA ya 3 kwenda juu tumia cheti cha diploma kujiunga na degree katika moja ya kozi zifuatazo:

Bachelor of Arts in Project Planning and Management or Community Development

Bachelor Degree in Records, Archives and Information Management

Bachelor Degree in Adult Education and Community Development

Bachelor Degree of Business Administration in Human Resources Management

Bachelor Degree in Business Administration

Bachelor Degree in Community Development

Bachelor of Statistics

Bachelor of Social Work

Kama unapenda kuajiriwa usiache kazi yako ya ualimu bali ukisha hitimu bachelor yako anza kufanya interview mbalimbali huku unafanya hiyo kazi yako. Mwisho kabisa utabahatika kupata nafasi mpya. Hapo ndio acha

Hakikisha unasoma kitabu cha TCU guide book kupata mwongozo zaidi.
 
Endelea na diploma ya ualimu kwasababu tayari una certificate. Hakikisha unasoma Diploma yenye masomo. Ukimaliza diploma kwa na ukapata kuanzia GPA ya 3 kwenda juu tumia cheti cha diploma kujiunga na degree katika moja ya kozi zifuatazo:

Bachelor of Arts in Project Planning and Management or Community Development

Bachelor Degree in Records, Archives and Information Management

Bachelor Degree in Adult Education and Community Development

Bachelor Degree of Business Administration in Human Resources Management

Bachelor Degree in Business Administration

Bachelor Degree in Community Development

Bachelor of Statistics

Bachelor of Social Work

Kama unapenda kuajiriwa usiache kazi yako ya ualimu bali ukisha hitimu bachelor yako anza kufanya interview mbalimbali huku unafanya hiyo kazi yako. Mwisho kabisa utabahatika kupata nafasi mpya. Hapo ndio acha

Hakikisha unasoma kitabu cha TCU guide book kupata mwongozo zaidi.
Hana vigezo vya kusoma HATA hiyo diploma ya UALIMU mambo yamebadilika sana
 
Mm nimeajiriwa kama mwlm ngaz ya cheti ila sitak kuendelea na ualim saaa n kozi gan naweza kujiendeleza nayo ambayo huwa ina nafasi za kazi zaidi msaada wenu wadau
Unaweza kusoma chochote unachopenda. Ni sula la muda, uwezo na mapenzi yako tu.
 
Ni ngumu sana kumshauri mtu mzima tena mwalimu asome nini. Inaonyesha elimu yetu haitusaidii kufikiri na kuchambua mambo.
Labda akasome journalism huko, marketing au aende veta kidogo anaweza anzia diploma lkn nje hapo kozi nzuri nzuri zote hawez Anza diploma ndo maana nikamshauri aende veta ili baadae awe tutor
 
Hizo dharau ndo nazikimbia xx mm mana ttz lipo kwa serikal co cc tulioingia kweny kada
xx=sasa
mm=mimi
ttz=Tatizo
Serikal=serikali
co=sio
cc=sisi
tulioingia=tuliyo ingia
kweny=Kwenye,Hama Kwanza Kwenye Hiyo Kada Ya Uandishi M'bovu Wa Lugha Adhimu Ya Kiswahili,,###MarekebishoMajitoleo###
 
Back
Top Bottom