Ushauri kubadili kada

Ushauri kubadili kada

Jamii forum imekuwa ya kipuuzi sana badala ujibu hoja ya mtoa mada unatoa disi fuc$ all of you..... Mliotoa disi

Mwamba kasome mambo ya afya kama clinical au pharmacy.....
Aise afadhal tumeelewana dah bless 🙌
 
Mm nimeajiriwa kama mwlm ngaz ya cheti ila sitak kuendelea na ualim saaa n kozi gan naweza kujiendeleza nayo ambayo huwa ina nafasi za kazi zaidi msaada wenu wadau
Sasa unaandika hivi hao wanafunzi wako Wana andika vipi!

Wewe tulia pambana ukiwa hapo hapo, wenzio wamejitolea kabla ya kupewa Ajira wamefanya mtihani na wamefeli😂😂 sasa wewe jichetue tu!
 
Hizo dharau ndo nazikimbia xx mm mana ttz lipo kwa serikal co cc tulioingia kweny kada
Em andika vizuri, ndo nini hiki sasa? Nawee umeajiriwa ufundishe watoto wa umma? Kweli walimu halali kudharaulika. Mxxiiiieeew
 
Ticha aheshimiwe tafadhali yeye ni junior kwenye hio tasinia😆
 
Kama alishindwa kusoma diploma ya ualimu akasoma certificate NDO atakua na vigezo vya kusoma diploma ya clinical medicine au pharmacy? Akienda uko labda aanze Certificate na szan kama ana hivo vgezo pia vya Certificate ya hzo kada, hata Sheria szan kama atakua na vgezo NDO maana nmemshaur aende veta, maana hata diploma ya ualimu hawez soma vgezo vya sasa
 
Look dis another bitch
 
Upo sahihi uyu ni kiazi zero brain nilikuwa namtetea kumbe bonge ya fala...
 
Sasa unaandika hivi hao wanafunzi wako Wana andika vipi!

Wewe tulia pambana ukiwa hapo hapo, wenzio wamejitolea kabla ya kupewa Ajira wamefanya mtihani na wamefeli😂😂 sasa wewe jichetue tu!
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom