Mkuu tuache ushabik....umewah tumia iphone,...na kama NDIYO...matumiz yake yakoje ukilinganisha na sm zngine kubwa za android....??Ila nimeshangaa unai dis iPhone na hiyo sijui simu gani unatumia maana post moja jinsi inavyokusumbua mpaka umeituma mara tatu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] dah..!!
Back fo the point, Jamii forums kwenye App Store ipo na link ni hii hapa chini na pia hata ukisearch inakuja, sasa sijui ulikuwa unaitafutia wapi!!
JamiiForums on the App Store
Mkuu tuache ushabik....umewah tumia iphone,...na kama NDIYO...matumiz yake yakoje ukilinganisha na sm zngine kubwa za android....??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu......bac utakuwa mtaalam sana wa hiz mm nilichemka!!....af cm yako soon itakata moto...icharge tafadhal
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu..Hahahahaaaa...!!! Asante kwa ushauri mkuu, hii nauhakika wa kufika nayo mpaka mda nataka kulala kabisa ndio nitaipa moto, niliitoa asubuhi kabla ya kwenda kwenye mihangaiko wasaa9
ungemweleza na jinsi ya kuweka miziki basi,ila tujuwe kweli haina complication kwenye kutumia..Hahahahaaaa...!!! Asante kwa ushauri mkuu, hii nauhakika wa kufika nayo mpaka mda nataka kulala kabisa ndio nitaipa moto, niliitoa asubuhi kabla ya kwenda kwenye mihangaiko wasaa9
ungemweleza na jinsi ya kuweka miziki basi,ila tujuwe kweli haina complication kwenye kutumia..
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli hii ni simu ya watu wasiopenda mambo mengi..android unaingia tu google unadownload mzigo unaingia kwenye storage directly..Zipo njia nyingi kupitia third part apps ila akitaka kutumia default music app itampasa afanye syncing with iTunes
Point za nini sasa!!!
Umesema sijawahi kutumia iOS nimekubali,bado huna amani.
Unataka tubishane mpaka nikwambie simu nimeinunua lini na ni aina gani,sipo hivyo.
Nunua s8 au s8+ aiphones shida sana kutumia kwenye komputa ina masherti kibao
Japo natumia aiphone [emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli zipo chache...bei ni kubwa kidogo lakini kama unavyojua tuna kawaida ya kununua majina yaliyozoeleka..na hii sio common sana hivyo hata wauzaji hawaweki sana as return ni pasua!Hizi A 8 kaka nimeona kama zipo chache vile madukani na bei yake sio ya mchezo nikahisi wanataka kunifanya mi wakuja mjini, na ile one plus 5 niliikosa mkuu naona bado hazijafika. Kikubwa napenda kununua simu latest version unakaa nayo hata miaka miwili bado inakua fresh unasahau hadi maduka ya simu
Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...
Post sent using JamiiForums mobile app
kibongo bongo huwa wauzaji hawaamui simu za kueka wanaamuliwa na ma agent, wanaletewa tu sample wao wanaeka na kuuza. simu nzuri kibao ambazo zingeuza hazipo madukani.Ni kweli zipo chache...bei ni kubwa kidogo lakini kama unavyojua tuna kawaida ya kununua majina yaliyozoeleka..na hii sio common sana hivyo hata wauzaji hawaweki sana as return ni pasua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibongo bongo nunua samsung maana unataka cmu upigie picha ubadilishe muonekano unaokuvutia kila wakat (customization)..
Ila kwa wazungu iphone kwanza ina safety ya privacy sana pia speed ya iphone huwez compare na misimu ya android...
In case of customization, free apps, cheap handset kwny manunuzi go to samsung
Ila kwa privacy, speed + heshima go to iphone
Post sent using JamiiForums mobile app
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.
Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.
Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.
Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.
Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.
IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.