the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Mnatawaliwaje? Sijawahi shika iphoneNilikuwa na iphone6 s plus ....nlichoka kutawaliwa jamaan.....achana na iOS
Nunua Samsung iphone huwezi kuwa huru kama androd
100% naunga mkono1- Kweli na pia sio kweli. AirDrop
2- Kuna Apps kibao zina download hizo video km vile app inaitwa Document na ipo App Store
3-Home screen unaweka picha yoyote ile utakayotaka. Wallpaper na pia kuna still wallpaper au live wallpaper unachagua mwenyewe
4-Storage zinajaa labda kama kwako unategemea kuweka full movies tuu kujaza simu na hauna data nyingine.
5- Sio apps zote ni za kulipia pia kumbuka ata Play Store zipo za kulipia na ukitaka za kulipia kwa bure pia iPhone kuna njia ya kuzipata.
Mwisho nimehisi vingi umeambiwa tuu kwa kukaririshwa na hujawahi kutumia iPhone (iOs) kabisa. Kama ulitumia basi ulikuwa hujui kuitumia na ulitaka itumia kwa mazoea.
Uhuru ulishapatikana tar 9/12/1961Wengi wenye iphone wamenunua kwa kutaka sifa tu lakini moyoni wanaumia kweli kweli. hawana uhuru kabisa
Wengi wenye iphone wamenunua kwa kutaka sifa tu lakini moyoni wanaumia kweli kweli. hawana uhuru kabisa
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.
Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.
Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.
Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.
Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.
IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.
Una hakika?Wengi wenye iphone wamenunua kwa kutaka sifa tu lakini moyoni wanaumia kweli kweli. hawana uhuru kabisa
Jaman nataka kununua simu mojawapo kati ya hizo...mwny kunijulisha kuhusu bei zake halisi kwa hapa Bongo na mwny ushauri wwte juu ya ipi ni simu bora kati ya hizo tusaidiane...
Sahau mambo za kurushiana nyimbo au video kwa Bluetooth kila unapokutana na mwenye wimbo mzuri.
Mambo za kudownload video hovyo hovyo kisa ni ingizo jipya NO.
Customization,Mara home screen umeichoka mara unaweka picha lako sjui la mtoto hakuna.
Kuna storage kubwa ya simu Ila kuijaza sasa,sjui utaijazaje mana jinsi ya kuweka vitu humo ni changamoto.
Kubwa kuliko yote ni kulipia apps,mambo ya pro kule sio kipaumbele.
IPhone ili uifurahie usiwe umeishatumia os nyingine ukaizoea,vinginevyo utahisi usumbufu flani.
Hyo simu ni outdated kweli.... camera yake hovyo sana
Mkuu nami nilitaka mwambia hivyo... ila kiukweli iphone 6 plus ni hovyo sana hasa camera yake haiipati hata galaxy S5
Tatizo mnalazimisha kila mtu apende mnavyopenda nyinyi.Sio sifa mtu kapenda kanunua mbona unataka kuingilia mapenzi ya watu? Binafsi samsung aina yoyote ile ata niikute chumbani nairusha nje.
Hiyo A8 ya 2015 inauzwa chini ya laki 4 ikiwa mpya au used?A8 labda ya 2016 yenye exynos 7420 hii kidogo inaweza compete na hio iphone na ukaenjoy simu,
A8 ya 2015 sio nzuri kwa standard za sasa unless unaipata chini ya laki 4.
hata kama haiuzwi hivyo hio ndio thamani yake mkuu.Hiyo A8 ya 2015 inauzwa chini ya laki 4 ikiwa mpya au used?