Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Mkuu Wala Usidili na Jirani yako dili na Make wako tuu...je akitokea na Jirani yako na Jirani yako mwingine na mwingine utawamaliza majirani wote?
Kaa na Mke wako MPE Atakacho.....
 
Ushauri:- mkeo ndio anacho jamaa anachotaka. Ebu deal na mkeo acha kumfata jamaa huwez kujua labda mkeo ndio anamtaka.
Umeongea ukweli mkuu, unaweza kukuta Mke ndo chanzo cha kila kitu
 
Mueleze mkeo kua vyanzo vyako vimekudokeza kua ana uhusiano na huyo jirani yako,hii itamfanya kuelewa kua kuna watu wanamfuatilia na ataingiwa na woga coz hatajua ni nani hasa hao vyanzo vyako vya habari,

Mpe darasa jinsi gonjwa la ukimwi lilivyo hatari na halina tiba mpaka leo ukizingatia mna mtoto na anahitaji malezi ya baba na mama,akileta jeuri achana nae kwani kuishi na mke ambae si muaminifu ni kujitafutia magonjwa ya moyo,ukimwi na magonjwa mengine au kifungo gerezani.
 
Una uwezo wa kumwacha mkeo au unatafuta ushahidi kwa ajili ya nini hasa?

Anyway tuliza akili uamue ila usifanye jambo la kukutia hatiani kwa jinai.
 
Nyie wanaume wa humu, kinachoshangaza ni nini? Mnadhani mkishaoa mnazuia wasitongozwe na wengine? Omba mke ajitambue. Atambue thamani yake. Kutongozwa sio dhambi wapendwa. Ni lazima kila anayemtongoza akwambie? Anyway, ongea na mkeo kwa namna ambayo si ya kumshutumu wala kumtuhumu ( in a friendly way)
 
aisee huyu jamaa ananitafutia matatizo kiukweli nikithibitusha namtoa roho
Wewe endelea kujifanya una hasira sana ukamtoe roho binadam mwenzio.. Kaa ukijua damu ya mtu haiendi bure UTAILIPA TU.

ongea na mkeo maana ndie asiejielewa.
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Kama unampenda mkeo/ndoa yako, nikushauri tafuta nyumba nyingine na kisha uhame.
Bila hivyo, utajikuta unaingia kwenye matatizo na mifarakano ambayo hautakua na ushahidi wa kutosha, kwasababu kwa maelezo yako inaonekana mkeo anajitahidi sana kuficha na usijue kwamba anatongozwa ama anatafunwa na jirani
 
Mueleze mkeo kua vyanzo vyako vimekudokeza kua ana uhusiano na huyo jirani yako,hii itamfanya kuelewa kua kuna watu wanamfuatilia na ataingiwa na woga coz hatajua ni nani hasa hao vyanzo vyako vya habari,

Mpe darasa jinsi gonjwa la ukimwi lilivyo hatari na halina tiba mpaka leo ukizingatia mna mtoto na anahitaji malezi ya baba na mama,akileta jeuri achana nae kwani kuishi na mke ambae si muaminifu ni kujitafutia magonjwa ya moyo,ukimwi na magonjwa mengine au kifungo gerezani.
Safi
 
Wewe endelea kujifanya una hasira sana ukamtoe roho binadam mwenzio.. Kaa ukijua damu ya mtu haiendi bure UTAILIPA TU.

ongea na mkeo maana ndie asiejielewa.
kama anatembea na mkewangu nipo tayari kwa lolote
 
Back
Top Bottom