Asee pole sana. Inabidi uwe na kifua kweli kweli na muombe mungu akuepushe na hasira zinazoweza kusababisha hasara kubwa maishani mwako. Kupata ushahidi wa moja kwa moja ni vigumu sana. Kamilisha ungunguzi wako kimya kimya bila kuonyesha chochote ni hatua ngumu sana kwani kuna wakati hata ile ngoma ya usiku kwa mkeo hutaitamani. ukikamilisha muweke mkeo kwenye kona mdadisi ukitolea mfano wa baadhi ya ushahidi wako. majibu yake yatakupa mwanga wa nini cha kufanya.
Swali la kichokozi hivi na wewe huna mchepuko?