Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Nov 3, 2011 #81 Mwita25 said: Asanteni sana wote mliotoa mchango wenu wa majina mbalimbali. Pia niwashukuru hata wale wavuta bangi ambao wanaingiza utani kwenye swali muhimu kama hili. Michango ya watu watatu ndiyo niliyoichukua na wahusika wataarifiwa juu ya vocha zao. Click to expand... mwita kama kawa IDs kibao!
Mwita25 said: Asanteni sana wote mliotoa mchango wenu wa majina mbalimbali. Pia niwashukuru hata wale wavuta bangi ambao wanaingiza utani kwenye swali muhimu kama hili. Michango ya watu watatu ndiyo niliyoichukua na wahusika wataarifiwa juu ya vocha zao. Click to expand... mwita kama kawa IDs kibao!
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,149 Reaction score 43,096 Nov 3, 2011 #82 Mwita25 said: We umeongea Click to expand... nilitegemea utakuwa ushabadili jina kumbe bado??
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,439 Nov 3, 2011 #83 jiite kikwetee,unaonekana unafanana naye kwenye misimamo
trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 746 Nov 3, 2011 #84 Mzee2011 said: Majina yote uliyopewa hakuna hata moja ulilolipenda?. Click to expand... anatufanyia usanii tu! Atoe tu hata nusu dola. Apokee jina.Wala hatutamdai..
Mzee2011 said: Majina yote uliyopewa hakuna hata moja ulilolipenda?. Click to expand... anatufanyia usanii tu! Atoe tu hata nusu dola. Apokee jina.Wala hatutamdai..
mdida JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 1,607 Reaction score 777 Nov 10, 2011 #85 jiite ****