Ushauri jamani: Nanyanyasika ukweni, eti nimemchezea muda mrefu

mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa kufunga naye ndoa kwani yeye ni mama wa nyumbani, nilijua kama nikifunga naye ndoa ikatokea tunatengana basi tunaweza kugawana mali hivyo nikawa nafanya mambo yangu kimya kimya.

Kila mara alikua akilalamika kufunga ndoa mimi nampiga chenga, lakini siku za karibuni amekua haulizii tena mambo ya ndoa, alikaa kimya kwa meizi sita mpaka na mimi nikaanza kuwa na wasiwasi. Nilianza kuchunguza kwani nilihisi kuwa ana mwanaume mwingine, huwezi amini nimegundua kuwa mke wangu ana mwanaume mwingine, tena mtu mzima ambaye alishaoa na kufiwa na mke wake pamoja na mtoto mmoja, alikua hajaoa muda mrefu baada ya kufiwa na mke wake.

Baada ya kuona hivyo niliongea na mke wangu akaniambia kuwa hakuna kitu kama hicho, nilimuambia suala la kuoana nikamuambia kuwa sasa hivi mimi niko tayari lakini yeye ndiyo akawa mtu wakunipiga chenga mara nyumbani hawajajiandaa, nymbani hivi na nyumbani vile. Mimi niliamua tu kwenda mwenyewe lakini cha ajabu nimefika huko wakwe zangu wamekataa mimi nisimuoe binti yao, eti wanaseam nimemchezea muda mrefu hivyo wamenirudishia mahari yangu ingawa mimi nimekataa kuzipoke.

Nimemuuliza mke wangu anajifanya hajui kitu,a naniambia lakini kama wazazi wameamua yeye si wakuwapinga. Nimefuatilia kumbe kashampeleka yule mwanaume kwao na kajitambulisha na kutoa mahari. Nilipombana na kumpiga kidogo aliondoka, niliamua kumtishia na kumuambia kama anaondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine basi anaichie wanangu akanijibu hakuja kwangu na mtoto hivyo ni sawa tu nikibaki nao kwani ni wakwangu hata kama nikiamua kuwanyanyasa ni mimi, ananitumia meseji ananiambia tena ni afadhali kwani ingemuwia shida kuanza ndoa mpya na watoto. Tuna watoto watatu na mke wangu kaondoka na kuniachia nao, sijui hata nifanyeje
Unauliza ufanyeje tena mjomba? Oa mwanamke mwingine huyo ameshasepa
 
Kwanza kabisa mshukuru Mungu kwamba imekuwa dhahiri ulikuwa unaishi na "msanii" sio Mke. Pili usirudie kosa la kudhani kwamba suala la kumpata Mke mwema lipo ndani ya uwezo wako bila kumshirikisha aliyeiumba Ndoa utakuja kuoa jini likukaushe damu. Tatu acha tabia za kupe kang'ang'ania visivyo vyako. Huyo ni Mke wa mtu Mkuu. Angekuwa wako angebaki nawe kwa kila hali,na ungekuwa na amani naye timilifu,usingekuwa unamficha ficha hayo uliyokuwa unamficha!. Mpe mkono wa kwa heri.
 
Mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa kufunga naye ndoa kwani yeye ni mama wa nyumbani, nilijua kama nikifunga naye ndoa ikatokea tunatengana basi tunaweza kugawana mali hivyo nikawa nafanya mambo yangu kimya kimya.

Kila mara alikuwa akilalamika kufunga ndoa mimi nampiga chenga, lakini siku za karibuni amekuwa haulizii tena mambo ya ndoa, alikaa kimya kwa miezi sita mpaka na mimi nikaanza kuwa na wasiwasi. Nilianza kuchunguza kwani nilihisi kuwa ana mwanaume mwingine, huwezi amini nimegundua kuwa mke wangu ana mwanaume mwingine, tena mtu mzima ambaye alishaoa na kufiwa na mke wake pamoja na mtoto mmoja, alikuwa hajaoa muda mrefu baada ya kufiwa na mke wake.

Baada ya kuona hivyo niliongea na mke wangu akaniambia kuwa hakuna kitu kama hicho, nilimuambia suala la kuoana nikamuambia kuwa sasa hivi mimi niko tayari lakini yeye ndiyo akawa mtu wakunipiga chenga mara nyumbani hawajajiandaa, nyumbani hivi na nyumbani vile. Mimi niliamua tu kwenda mwenyewe lakini cha ajabu nimefika huko wakwe zangu wamekataa mimi nisimuoe binti yao, eti wanasema nimemchezea muda mrefu hivyo wamenirudishia mahari yangu ingawa mimi nimekataa kuzipokea.

Nimemuuliza mke wangu anajifanya hajui kitu, ananiambia lakini kama wazazi wameamua yeye si wa kuwapinga. Nimefuatilia kumbe kashampeleka yule mwanaume kwao na kajitambulisha na kutoa mahari.

Nilipombana na kumpiga kidogo aliondoka, niliamua kumtishia na kumuambia kama anaondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine basi aniachie wanangu akanijibu hakuja kwangu na mtoto hivyo ni sawa tu nikibaki nao kwani ni wa kwangu hata kama nikiamua kuwanyanyasa ni mimi, ananitumia meseji ananiambia tena ni afadhali kwani ingemuwia shida kuanza ndoa mpya na watoto. Tuna watoto watatu na mke wangu kaondoka na kuniachia nao, sijui hata nifanyeje

Wewe ni mbinafsi sana, nadhani hili ni funzo kwako kwa roho mbaya yako. Yaani umekaa na mtoto wa watu 10 years, na watoto watatu umemzaliasha, bado unaona kumuoa ilikuwa sio haki yake, eti kwa kuwa ni mama wa nyumbani? Aisee wewe ni (tusi hapa).

Sasa pambana na hali yako 😡
 
Mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa kufunga naye ndoa kwani yeye ni mama wa nyumbani, nilijua kama nikifunga naye ndoa ikatokea tunatengana basi tunaweza kugawana mali hivyo nikawa nafanya mambo yangu kimya kimya.

Kila mara alikuwa akilalamika kufunga ndoa mimi nampiga chenga, lakini siku za karibuni amekuwa haulizii tena mambo ya ndoa, alikaa kimya kwa miezi sita mpaka na mimi nikaanza kuwa na wasiwasi. Nilianza kuchunguza kwani nilihisi kuwa ana mwanaume mwingine, huwezi amini nimegundua kuwa mke wangu ana mwanaume mwingine, tena mtu mzima ambaye alishaoa na kufiwa na mke wake pamoja na mtoto mmoja, alikuwa hajaoa muda mrefu baada ya kufiwa na mke wake.

Baada ya kuona hivyo niliongea na mke wangu akaniambia kuwa hakuna kitu kama hicho, nilimuambia suala la kuoana nikamuambia kuwa sasa hivi mimi niko tayari lakini yeye ndiyo akawa mtu wakunipiga chenga mara nyumbani hawajajiandaa, nyumbani hivi na nyumbani vile. Mimi niliamua tu kwenda mwenyewe lakini cha ajabu nimefika huko wakwe zangu wamekataa mimi nisimuoe binti yao, eti wanasema nimemchezea muda mrefu hivyo wamenirudishia mahari yangu ingawa mimi nimekataa kuzipokea.

Nimemuuliza mke wangu anajifanya hajui kitu, ananiambia lakini kama wazazi wameamua yeye si wa kuwapinga. Nimefuatilia kumbe kashampeleka yule mwanaume kwao na kajitambulisha na kutoa mahari.

Nilipombana na kumpiga kidogo aliondoka, niliamua kumtishia na kumuambia kama anaondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine basi aniachie wanangu akanijibu hakuja kwangu na mtoto hivyo ni sawa tu nikibaki nao kwani ni wa kwangu hata kama nikiamua kuwanyanyasa ni mimi, ananitumia meseji ananiambia tena ni afadhali kwani ingemuwia shida kuanza ndoa mpya na watoto. Tuna watoto watatu na mke wangu kaondoka na kuniachia nao, sijui hata nifanyeje
Hizi hadithi za kutunga nyengine hata haziingii akilini. Hivi unamdanganya nani hapa? Ni mtu gani atoke anede kutowa mahari na akubaliwe halafu amuwache mkewe mtarajiwa aishi na mwanamme mwengine? Itakuwaje ifike mtu mpaka anapeleka posa kwa wazazi wa mwanamke na hajui anapoishi mwanammke au anaeishi na huyo mwanamke? Nashindwa kuamini kabisa huyo jamaa apeleke posa na kukubaliwa ilhali anajua kuwa demu anaishi na mtu mwengine. HII ni chai tu!
 
Wachana nae tuu, mwanamke akiamua ameamua harudi nyuma. Hata ukabembeleza, na akirudi bas anakuwa sio yule wa mwanzo.
 
Hii sentence ya umenichezea ni kma ulimkuta bikra au umemzalisha
Zaidi ya hapo mwanamke hapaswi kuitumia
 
Bila shaka mali zako zipo salama mkuu. Nini tatizo hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom