Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,967
- 12,430
Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema.
Lakini pia hii itasaidia kuonesha support yao kwa mwenyekiti wao na wafuasi wao kwa ujumla. Mambo hayo ni
[1] Chama kichague viongozi mbali mbali ambao wataongoza maandamano hayo, wakiwepo katibu mkuu wa chama, manaibu katibu wakuu bara na visiwani, wabunge wote waliokuwa katika awamu iliyopita 2015 - 2020, viongozi wa chama kutoka katika mashina mbali mbali na wale wa kitaifa.. afu sasa baada ya hao kuwaongoza waandamanaji na kuwapa direction ndio sasa lije kundi la sisi wapambanaji wa magazetini na mitandaoni kama vile kina Dudumizi nk.
[2] Chama kitoe onyo la kuwafukuza uanachama viongozi na wanachama wote ambao watabainika kutoshiriki katika maandamano hayo. Maana kukosa kushiriki kwao itakuwa ni usaliti na unafiki mkubwa dhidi ya chama na mwenmwenyekiti wa chama kwa ujumla. Chama kisiwaonee aibu viongozi hawa ambao hupanga maandamano, na siku ikifika hawajitokezi maandamanoni badala yake wanakaa majumbani kwao na familia zao huku wakifatilia kila kinachojiri kupitia TV zao.
Toka vyama vingi vianzushwe ni viongozi watatu tu ndo nishawahi kuwaona maandamanoni nao ni Augustine Mrema, Dr. Slaa na Prof Lipumba. Waliobakia huwa wanashinda kideoni kuangalia na kusikilizia matokeo ya maandamano walioyandaa wenyewe. Asanteni sana ndugu zangu nina imani mawazo yang yatafanyiwa kazi na uongozi wa chama haraka iwezekanavyo.. Pepoooooz Pawaaaaaa.
Nawasilisha.