Ushauri: CHADEMA watoe tamko na kuchukua hatua hii

Mleta mada hujawahi kumuona Mbowe,Lissu,Lema,Msigwa kwenye maandamano ya amani?
Basi utakuwa bado Serengeti boy!
Mbowe inasemekana alikuwepo kwenye maandamano yaliosababisha kifo cha Aquilin lkn hakuonekana kwenye Tv. Kwahiyo ni siwezi kusema aliandamana maana sikumuona ku confirm
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala, CCM hii haina tofauti na Bokoharam.
Ndio maana nashauri viongozi na wanachama tujitokeze kwa wingi katika haya maandamano ya amani ili kuionesha dunia kuwa tumechoshwa na huu udhalimu. Viongozi nao wasituangushe kwa kukaa majumbani mwao, waje tushirikiane bega kwa bega.
 
Mbowe inasemekana alikuwepo kwenye maandamano yaliosababisha kifo cha Aquilin lkn hakuonekana kwenye Tv. Kwahiyo ni siwezi kusema aliandamana maana sikumuona ku confirm
Mbowe alikuwepo pia maandamano ya kupinga meya wa Arusha 2011 nadhani wewe bado ulikuwa kwenu Koromije.
 
Ndio maana nashauri viongozi na wanachama tujitokeze kwa wingi katika haya maandamano ya amani ili kuionesha dunia kuwa tumechoshwa na huu udhalimu. Viongozi nao wasituangushe kwa kukaa majumbani mwao, waje tushirikiane bega kwa bega.
kama utawaona wako front nahama tz
 
Mbinu hii itawasaidia kuwatambua viongozi wenye uchungu kweli na mwenyekiti, katiba mpya na demokrasia na wale ambao hawana uchungu na chochote katika hivyo nilivyotaja hapo juu yani wanafiki.
Amini kwamba, itabidi wafukuze viongozi wote waliopo sasa. Hakuna kiongozi atakaehudhuria hayo maandamano.
 
Augustine Mrema, Dr Mihogo na Lipumba ndio ma'best' wako kwenye viongozi wa upinzani.

Hongera zako.
Hawa walijitolea kwa jasho na damu katika kuvijenga vyama vyao. Katika kusimamia itikadi za vyama vyao hawakuangalia wala kujali athari zilizokuwepo mbele yao. Tofauti na hawa wachumia tumbo ambao wanatafuna hela za chama, lkn hawana msaada wowote kwa chama wala mwenyekiti wa chama.
 
Back
Top Bottom