Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

Toka miaka hiyo kuna watu walisha sema lowassa mgonjwa lakini wao wamekufa na lowassa wamemuacha anapeta hii dunia ya ajabu sana unaweza ukawa unamsemea mwenzako vibaya lakini hicho kibaya kikakupata kwanza wewe na mwenzako ukamuacha.
 
Umewaambia hivyo!! hiiiiiiiiiiiii! subiri mitusi yao sasa! hawaambiliki.
 
Kijana unajidanganya.

Usiache mbachao kwa msala upitao.

Au wewe ni wa KKKT?
u

Kwenye uislamu kmekushinda, mfumo kristu umekushinda, sasa umeingilia KKKT, nakoo utashindwa pia, you are a loser FaizaFoxy
 
hahahahahaa mbona umepanick bosi imani ya kweli imebaki rohoni acha ufia dini usio na mantiki we jamaa kkkt si kanisa na likikosea acha manabii wakemeee mnaleta udini siasani na mkemewe tu

Kwenda mwana kwenda KKKT ndio imekosea au ni mtu mmoja ndani ya KKKT ndio kakosea? Usipende ku generalize issues
 
Kama Makofuri ni mzima ,loliondo alienda kufanya nini?au hujaona anakunywa kikombe kwa Babu?
 
Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.

Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).

Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.

Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.

Hivi wewe jinsia gani, ya kike au kiume?
 
gentamycine mtu unayeweza kumjua kuwa ni mgonjwa wa muonekano wake ni mke wako tu lakini wengine ni mpaka wakuambie. kwamba tusimamishe kampeni tungekushauri umshauri magufuli asimamishe kwanza kampeni akacheki afya maana alikwenda kwa babu kunywa kikombe. halafu mumpe magufuli muda wa matibabu na afanyiwe kampeni na waropokaji akina mwigulu na lusinde. Sisi tulianza na Mungu, tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu. anayeweza kutuambia kuwa Mgombea wetu ni mgonjwa ni Mama Regina Lowassa pekee
Kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa Lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa.

Kwa jinsi alivyokuwa pale Zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama CHADEMA mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa Mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali.

Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho hatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, JK aliumwa na akalitangazia taifa.

CHADEMA pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!

Naomba nisitafsiriwe vibaya
 
Ata Mohamed Buhari Yule wa Nigeria walisema hivi hivi mwisho wa siku kampeni zikaisha akaibuka kidedea

Mifano mingine sio relevant kabisa... afya ya buhari na lowasa ni sawa....unajua Parkinson's wewe?

VoteForChadema.
 
u

Kwenye uislamu kmekushinda, mfumo kristu umekushinda, sasa umeingilia KKKT, nakoo utashindwa pia, you are a loser FaizaFoxy

Ni mimi au Lowassa? Mara ngapi kashindwa kwenye kura za maoni za CCM? Sasa nani loser?

Kikwete alijaribu mara ya kwanza akashindwa, mara ya pili kashinda.

Magufuli kajaribu mara ya kwanza kimya kimya, kashinda.

Leo kaona mambo mabaya na jinsi alivyo juha na uchu wa madaraka ameenda kwa Wakutheri wenzake wamuhurumie, eti ooh, Tanzania hajawahi kutawala Mlutherii sasa zamu ya Mlutheri. Khaa!

hata haya hamuoni kutetea ujinga na upumbavu huo?

Huo ni upumbavu wa kulaaniwa kabisa.
 
Kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa Lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa.

Kwa jinsi alivyokuwa pale Zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama CHADEMA mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa Mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali.

Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho hatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, JK aliumwa na akalitangazia taifa.

CHADEMA pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!

Naomba nisitafsiriwe vibaya

Wewe afya yako ikoje
 
Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.

Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).

Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.

Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.
Kinachoguopesha wewe ni ufisadi wako! Unaona akija rais asiye upande wa kilaza Kikwete utafilisiwa na kuishia jela!
 
Back
Top Bottom