Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

mnataka kumpa sifa mtoto wa shekh Yahya na utabiri wake

Baba yake alivuta yeye baada ya kusema atakayempinga mkuu wa kaya atavuta,kuna askofu akamjibu abadilishe kauli,atubu na amfate Yesu lasivyo atavuta,akapuuzia matokeo yake parapanda ikalia
 
Namalizia kwa kusema:
Pumbaf zenyu magamba mazafantaz firigisi mkia wa ng'ombe mbuzi nyie shwain!

Mkuu matusi ya nini? Kama tatizo ni Edward mbona oktoba 25 imekaribia na hapo ndipo mtakapojua Rais ni nani tuliza munkari utajua tu ukweli ni upi acha ulimbukeni Tanzania huijui wewe.
 
mungu?? Hivi ulienda shule kuongeza ujinga? Cdm hatumtumikii mungu bali ni Mungu
 
Kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa. Kwa jinsi alivyokuwa pale zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama chadema mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali. Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho haatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.
Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, jk aliumwa na akalitangazia taifa, chadema pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!
Naomba nisitafsiriwe vibaya

Haya Dr Bingwa wa magonjwa ya kampeni, kampine kwanza tezi dume aliyekuwa ananguka kwenye majukwaa kila siku na yule mwingine mafunguo aulizwe kikombe cha babu kwa maswahibu gani!?
 
Tukumbushane kidogo tu:
JK alipoanguka jangwani jukwaani mbele ya camera za dunia hakuwa anaumwa? Jk alipolazwa operesheni kubwa tezi jike mbona hapumziki? Huyu lowassa ambaye hajaanguka, hajalazwa, hajulikani anaumwa nini nyie wasema anaumwa? Anaumwa nini?

Mwenzake hakuwahi kuanguka huko nyuma ama kushindwa kupanda ngazi kama inavyotokea kwa kigori wenu babu Lowassa, alafu mwenzie alikuwa kwenye mfungo tofauti na huyu ambaye anakula ugari na katika wiki ya kwanza tayari ukiiangalia sura yake ni kama anakamuliwa ndimu machoni ..mnatuletea wazee kwenye chandimu mtaumia nyie.
 
Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.

Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).

Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.

Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.

Wewe pesa unazohongwa zinakusumbua sana pole huyu ndiye tunaye mtaka upende usipende.
 
Kijana unajidanganya.

Usiache mbachao kwa msala upitao.

Au wewe ni wa KKKT?

Ndio m ni kkkt lkn nilimchagua lowassa b4 hata cjajua kua naye ni mKkkt kwaio acha kuleta udini hii ni mpango wa Mungu ccm kuanguka. We do ths for our next generation
 
Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.

Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).

Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.

Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.

Unapewa shilingi ngapi mbona hauna ushabiki bali kila sehemu ni kashifa tu
 
ha ha ha -yaan CDM ndio malaika wa Mungu? labda Mungu wa kuzimu. Afadhali ungesema Shetani anayepigania ushetani mkuu

Tulazimika kuchukua hatua hata ikiwa itatugharimu kama ambavyo imekuwa ikitugharimu mara kwa mara kwa kuikataa ccm.
 
Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.

Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).

Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.

Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.

Wewe mbona yako yalokushinda husemi.

Na huyo wenu anayeishi na moyo wa kuendeshwa na computer vp?
 
Kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa. Kwa jinsi alivyokuwa pale zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama chadema mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali. Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho haatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.
Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, jk aliumwa na akalitangazia taifa, chadema pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!
Naomba nisitafsiriwe vibaya

tayar umeshatafsiriwa vibaya na umeonekana umepanic
 
kuna videos zake mi nikiziona Natamani hata kulia jinsi anavyotembea naingiwa na huruma muda mwingine sitaki hata kuzitazama.. na watu wanavyomake funny of him sipendi tho am supporting CCM kuna maisha zaidi ya siasa na pia utu Mungu amsimamie vyema.
 
Kwa kitendo cha kusema ccm hoyee kwenye jukwaa la chadema.kwa watu wenye kujitambua lowassa asingepewa hata uenyekiti wa mtaa

Haukumsikia Magufuli akisema People's?
Acha unafiki hata jana watu wenu wameanza kuzungusha na kusima Mabadiliko.
 
Mkuu matusi ya nini? Kama tatizo ni Edward mbona oktoba 25 imekaribia na hapo ndipo mtakapojua Rais ni nani tuliza munkari utajua tu ukweli ni upi acha ulimbukeni Tanzania huijui wewe.

Ila wewe unaijua vizuri tanzania
 
Mwenzake hakuwahi kuanguka huko nyuma ama kushindwa kupanda ngazi kama inavyotokea kwa kigori wenu babu Lowassa, alafu mwenzie alikuwa kwenye mfungo tofauti na huyu ambaye anakula ugari na katika wiki ya kwanza tayari ukiiangalia sura yake ni kama anakamuliwa ndimu machoni ..mnatuletea wazee kwenye chandimu mtaumia nyie.

Uwe muangalifu na maneno yako
 
kuna videos zake mi nikiziona Natamani hata kulia jinsi anavyotembea naingiwa na huruma muda mwingine sitaki hata kuzitazama.. na watu wanavyomake funny of him sipendi tho am supporting CCM kuna maisha zaidi ya siasa na pia utu Mungu amsimamie vyema.

Wewe ni wa ajabu sana tena sana yaani unawa support ccm kwa hisia za ugonjwa wa mtu?
Akili zako zinalingana na akili ccm kutufanya masikini miaka 53
 
poepleeeeeeeeeeeees.....
 
Attachments

  • 1441865452650.jpg
    1441865452650.jpg
    18.4 KB · Views: 147
Back
Top Bottom