Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.

Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).

Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.

Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.

Kama hawawezi kuliona umelileta hapa la nini?. Basi wewe unakihelehele na kiroho pepo
 
wenzake wanamtumia kama mtaji halafu wewe unawaambia wakamtibu unadhani watakubali.
 
Hivi macho yako yanaona tofauti na wengine au...jiandae kisaikolojia mirija karibia inakatwa
 
Kijana unajidanganya.

Usiache mbachao kwa msala upitao.

Au wewe ni wa KKKT?

Sorry FaizaFoxy, binafsi ninakuheshimu kweli kweli, chonde chonde iache KKKT as KKKT, usiihusishe na siasa,iwe chadema au ccm, sio wana kkkt wote ni wanasiasa, msituchafulie dhehebu kwa sababu ya mtu mmoja tu
 
Last edited by a moderator:
CCM ni janga la Taifa..

Hata iweje... tushaamua ni Lowassa tu...!!!

HUU UZUSHI UKOME...!!!

Lowassa ni mzima wa Afya...!!!

Ma CCM hamna sera, kazi kuwaza kwa kutumia mas.aburi...!!!
 
kunasiku atakwenda baharini akidhani anakwenda bafuni halafu habari itaishi hapo.
 
kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa. Kwa jinsi alivyokuwa pale zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama chadema mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali. Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho haatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.
Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, jk aliumwa na akalitangazia taifa, chadema pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!
Naomba nisitafsiriwe vibaya

mungu katika jina kuu la yesu akunusuru kwa kufanya uaguzi/uganga wa kienyeji, mungu akurehemu sana ndugu
 
CCM ni janga la Taifa..

Hata iweje... tushaamua ni Lowassa tu...!!!

HUU UZUSHI UKOME...!!!

Lowassa ni mzima wa Afya...!!!

Ma CCM hamna sera, kazi kuwaza kwa kutumia mas.aburi...!!!

mafisadi mwaka huu mtapigwa mweleka wa ajabu sana na baba yenu fisadi papa LOWASA.
 
muogopeni nyinyi..
huyu kwani mzima?
peopleeeeeeees 😀
 
Attachments

  • 1441866196512.jpg
    1441866196512.jpg
    6.2 KB · Views: 254
Waache waendelee na yao " baniani mbaya kiatu chake dawa" hawamtakii salama
 
chadema pokeeni ushauri, Lowassa ni mwanadamu lindeni utu wake, msichukulie kila kitu siasa, mtu ameshapoteza kumbukumbu kabisa, anachoongea ni mauzauza tu, bado mmampelekesha kwenye kampeni! mapumziko ya siku mbili mlompa hayatoshi, mpelekeni akatibiwe, mbona muda wa kampeni bado upo! kuweni na roho ya utu
 
Ccm mnahangaika sana watanzania tumeamua mabadiliko lowasa hata akiwa kitandani tutampigia kura tuu
 
Sorry FaizaFoxy, binafsi ninakuheshimu kweli kweli, chonde chonde iache KKKT as KKKT, usiihusishe na siasa,iwe chadema au ccm, sio wana kkkt wote ni wanasiasa, msituchafulie dhehebu kwa sababu ya mtu mmoja tu
hahahahahaa mbona umepanick bosi imani ya kweli imebaki rohoni acha ufia dini usio na mantiki we jamaa kkkt si kanisa na likikosea acha manabii wakemeee mnaleta udini siasani na mkemewe tu
 
Wazo lako ni zuri na inaonesha ni kweli umelileta kwa ajili ya humanitarian grounds. Lakini pia inaonesha ni jinsi gani unamahaba na mheshimiwa Lowasa. Hata hivyo ningependa kukufahamjsha ya kwamba huoni kipindi hichi cha campaign kinamsaidia vizuri mheshimiwa Lowassa kujijenga kiafya hasa kutokana na mazoezi anayoyapata? Hivi ni kweli hana daktari wake wa kamshauri kuhusu afya yake? Mimi nadhani mwacheni Rais Lowasa aendelee na campaign zake na kama akishindwa basi atatujulisha mwenyewe ama daktari wake atatueleza. nadhani umeelewa
Lowasa? ??
 
Wakumwogopa mungu ni ccm sio Chadema.Chadema wapo na mungu cku zote
 
mkewe nae ana roho ngumu kweli...

Anafanya basi tu, yeye hamwoni wa mwenzie kaendelea na kazi yake ya kufundisha kama kawaida huku mzee mzima akisimamia show, hawa wanajazana wote kana kwamba hii nchi tunatafuta rais wa familia na marafiki ..poor babu Lowassa
 
Sorry FaizaFoxy, binafsi ninakuheshimu kweli kweli, chonde chonde iache KKKT as KKKT, usiihusishe na siasa,iwe chadema au ccm, sio wana kkkt wote ni wanasiasa, msituchafulie dhehebu kwa sababu ya mtu mmoja tu

Haya maneno@ram ungemwambia mamvi ingependeza sana!!
 
Kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa. Kwa jinsi alivyokuwa pale zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama chadema mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali. Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho haatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.
Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, jk aliumwa na akalitangazia taifa, chadema pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!
Naomba nisitafsiriwe vibaya

Wewe siyo Lowasa anajuwa ugonjwa wake ni yeye binafsi na uwezo wake ni yeye binafsi tena kadai yuko fit.pilipili usiyoila inakuwashia nini?.
 
Sorry FaizaFoxy, binafsi ninakuheshimu kweli kweli, chonde chonde iache KKKT as KKKT, usiihusishe na siasa,iwe chadema au ccm, sio wana kkkt wote ni wanasiasa, msituchafulie dhehebu kwa sababu ya mtu mmoja tu

Tunakuchafulia sisi au Lowassa?

Au haujamsikia anavyowagawa Watanzania ndani ya kanisa la KKKT na hakuna humo aliyethubutu kunyanyua mdomo wake kumwambia, hapo umekosea.
 
Back
Top Bottom