georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Sijawahi kushindwa - kumbuka hilo.
Magufuli hajawahi kushindwa - kumbuka na hilo pia.
Mamvi Jee?
Wewe ni Magufuli?
Sijawahi kushindwa - kumbuka hilo.
Magufuli hajawahi kushindwa - kumbuka na hilo pia.
Mamvi Jee?
Wewe ni Magufuli?
punguza jazba mbona JK alikuwa na kifafa na Ikulu aliingia au ulikuwa bado kuingia bongo kutoka kwenu congo?punguani mkubwa wewe, una akili za shetani kabisa! unamwita raisi wako, raisi wa mama yako, raisi wa baba yako, raisi wa lowassa na raisi wa watanzania mil 46 kilaza! kupata kicertificate cha gade III cha ualimu ndo unajiona intelligent kuliko raisi! pumbavu na lofa mkubwa wewe, koma kabisa kuwa na adabu
Ata Mohamed Buhari Yule wa Nigeria walisema hivi hivi mwisho wa siku kampeni zikaisha akaibuka kidedea
Hajawahi kushindwa.
Ma mvi jee?
#HapaKaziTu
hajawahi kushindwa.
Ma mvi jee?
#hapakazitu
hivi chadema hizi ni akiri zenu au kuna mtu kawashikia atawarudishia uchaguzi ukiiisha?
tumia akili katika kujenga hoja.
Kenya, rais mwai kibaki alikuwa mgonjwa kwa taarifa yako lakini ndiye aliyeongoza kwa vizuri kenya.
Sisi hatujui anaumwa nini labda twambie anaumwa nini ili tukamtibia aje kututawala akiwa na afya njema.
Hajawahi kushindwa ndiyo maana hata kivuli chake mnaogopa.
Mmetumia pesa mpaka zimeisha sasa mnaangaika tu na atapita tu.
MABADILIKO LOWASA