MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Chama cha CHADEMA kwa siku za hivi karibuni kimekuwa na utaratibu wa kuwatumia viingozi wake ambao waliisha wahi kuwa mawaziri wakuu katika serikali zilizopita , na hao ni Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.
Licha ya siku hizi kugeuka na kuwa wakosoaji wakubwa wa serikali waliokuwa wakiiongoza kwa miaka 12 , ila pia hutumika kama kufikisha ujumbe kwa serikali kujitathmini kama kweli wana uhalali wa kuendelea kuongeza dola licha ya matatizi mbali mbali yanayoendelea kuikumba nchi.
Sasa basi mie ni naona kuwa wao ni watu influential & oratos , hivyo naomba kupendekeza kuwa wakati w kutoa TAMKO la cha cha CHADEMA watu hao watumike na chama chao kutoa msimamo wa kile serikali ya chama tawala cha ccm chini ya Rais Magufuli wameamua kwa niaba ya watanzania. Labda tunaweza pata kitu kipya kutoka kwao (kumbuka nyani Mzee amekwepa mishale mingi).
Ni hayo tu maoni yangu, wakijitokeza aisee CHADEMA watajenga credibility na trust kubwa kwa watanzania na wafuasi wake ambao kwa sasa wamekuwa watu waliokata tamaa kutokana na chama kutokuwa na ajenda mahsusi ya kusimamia toka uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuliko hivi sasa kila.mtu kuwa mzungumzaji , kumbuka miruzi mingine hupoteza ....hivyo hao ndio wasome TAMKO na mapendekezo kwa serikali na wawekezaji Acacia wa namna bora ya kumaliza hili suala likiteka hisia za watanzania na dunia kwa ujumla.
Karibu kwa maoni yako .

- Nakumbuka ishu ya kunyimwa ukumbi wa mkutano wao -Lowasa aliibuka na kutoa tamko.
- Ishu ya msiba wa wanafunzi Arusha-Lowasa aliibuka kwa niaba ya CHADEMA.
- Ishu ya maji ya polisi-Lowasa aliibuka na kutoa TAMKO
- Ishu ya vyeti feki Lowasa
- Ishu ya kukatazwa kufanya siasa za majukwaani- Lowasa aliibuka.
- Ishu ya clouds media - sumaye