Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

Kinachoguopesha wewe ni ufisadi wako! Unaona akija rais asiye upande wa kilaza Kikwete utafilisiwa na kuishia jela!

punguani mkubwa wewe, una akili za shetani kabisa! unamwita raisi wako, raisi wa mama yako, raisi wa baba yako, raisi wa lowassa na raisi wa watanzania mil 46 kilaza! kupata kicertificate cha gade III cha ualimu ndo unajiona intelligent kuliko raisi! pumbavu na lofa mkubwa wewe, koma kabisa kuwa na adabu
 
Lowasa hafai kuwa rais akatibiwe kwanza asitoe udenda mdomoni.magufuli hadi ikulu
 
Toka miaka hiyo kuna watu walisha sema lowassa mgonjwa lakini wao wamekufa na lowassa wamemuacha anapeta hii dunia ya ajabu sana unaweza ukawa unamsemea mwenzako vibaya lakini hicho kibaya kikakupata kwanza wewe na mwenzako ukamuacha.

Kifo ni faradhi wote tutaenda huko na ukweli lazima usemwe kuwa fisadi Lowassa ni mgonjwa!
 
Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.

Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).

Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.

Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.
Wasahaulifu sana nyie! Kama ugonjwa ndio kigezo cha kutokuwa Rais basi tusingemchagua KIKWETE ambaye alionyesha ugonjwa wake dhahiri mwaka 2005, baada ya kubinuka mbele ya hadhara pale Jangwani!

Juzi tu KIKWETE katoka kupasuliwa korodani huko marekani! Leo hii utasemaje kuwa ugonjwa ni kigezo cha mtu kunyimwa URAIS? By the way LOWASSA yuko fit hana hata homa!
 
quote_icon.png
By FaizaFoxy Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.

Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).

Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.

Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.

Bora LOWASSA aliyesahau jina la Rais wa kwanza(Kama ni kweli). KIKWETE kule DODOMA kwenye Kikao cha kamati kuu alisahau kabisa kuwa yeye ndio mwenyekiti wa CCM! uliza waliokuwepo! Hujui kitu wewe!
 
Kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa Lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa.

Kwa jinsi alivyokuwa pale Zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama CHADEMA mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa Mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali.

Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho hatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, JK aliumwa na akalitangazia taifa.

CHADEMA pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!

Naomba nisitafsiriwe vibaya

Wewe una afya gani, we mwenyewe hujitambui na akili yako haifanyi kazi vizuri..!!
 
Ni mimi au Lowassa? Mara ngapi kashindwa kwenye kura za maoni za CCM? Sasa nani loser?

Kikwete alijaribu mara ya kwanza akashindwa, mara ya pili kashinda.

Magufuli kajaribu mara ya kwanza kimya kimya, kashinda.

Leo kaona mambo mabaya na jinsi alivyo juha na uchu wa madaraka ameenda kwa Wakutheri wenzake wamuhurumie, eti ooh, Tanzania hajawahi kutawala Mlutherii sasa zamu ya Mlutheri. Khaa!

hata haya hamuoni kutetea ujinga na upumbavu huo?

Huo ni upumbavu wa kulaaniwa kabisa.

Huna hata kimoja ulichosimamia ukashinda, you are a loser FaizaFoxy mdini,
 
Wasahaulifu sana nyie! Kama ugonjwa ndio kigezo cha kutokuwa Rais basi tusingemchagua KIKWETE ambaye alionyesha ugonjwa wake dhahiri mwaka 2005, baada ya kubinuka mbele ya hadhara pale Jangwani!

Juzi tu KIKWETE katoka kupasuliwa korodani huko marekani! Leo hii utasemaje kuwa ugonjwa ni kigezo cha mtu kunyimwa URAIS? By the way LOWASSA yuko fit hana hata homa!

Nnaona unaongelea kuuguwa na ugonjwa. Ni vitu viwili tofauti.

Unaijuwa Parkinson's disease?

Jisomee halafu mtazame Lowassa:

People may experience:
Tremor: can be postural, can occur at rest, in the hands, or limbs
Muscular: difficulty standing, difficulty walking, difficulty with bodily movement, involuntary movements, muscle rigidity, muscle twitch, problems with coordination, slow bodily movement, stiff muscles, or slow shuffling gait
Cognitive: amnesia, confusion in the evening hours, dementia, or difficulty thinking and understanding
Sleep: daytime sleepiness, early awakening, nightmares, restless sleep, or sleep disturbances
Sensory: distorted sense of smell, loss in contrast sensitivity, or loss of smell
Speech: impaired voice, soft speech, or voice box spasms
Facial: jaw stiffness or reduced facial expression
Urinary: dribbling of urine or leaking of urine
Whole body: dizziness, fatigue, or poor balance
Psychological: anxiety or depression
Also common: apathy, blank stare, constipation, difficulty swallowing, drooling, falling, fear of falling, neck tightness, restlessness, small handwriting, trembling, unintentional writhing, or weight loss

Sources: Mayo Clinic and others.
 
Sijawahi kushindwa - kumbuka hilo.

Magufuli hajawahi kushindwa - kumbuka na hilo pia.

Mamvi Jee?

Hujawahi kushinda ulikuwa mtetezi wa CCM Kikwete kwa misingi ya udini umeshindwa, ulikuwa unashambulia ukristu umekushinda, na Lowassa anaenda kukuhinda ingawa hoja yangu wewe mwenyewe you are a loser FaizaFoxy
 
Hashambuliwi mtu hapa ,huwa tunasema ukweli na nyinyi mnaona mnashabuliwa,

Sasa nikisema Lowassaa mdini anahubiri kuwagawa hata Wakristomwenyewe kwa wenyewe kwa madhehebu ntakuwa nimeshambulia Ukristo? - Fikiri.

Nnaona maji yamemfika shingoni. Pesa zimeliwa na zinazidi kuliwa na urais haupati.

Amma kwa hakika fedha ya mlevi huliwa na mgema.
 
Lowassa siyo saizi yako wewe wala Magufuli, unaonekana ni juha kuwa mshindani wake, Wewe kama FaizaFoxy mdini ni The LOOSER!! achana na Lowassa simamia nafsi yako
 
Ndiyo maana situkani wala sina munkari

Tumia akili katika kujenga hoja.
Kenya, Rais Mwai Kibaki alikuwa mgonjwa kwa taarifa yako lakini ndiye aliyeongoza kwa vizuri Kenya.
Sisi hatujui anaumwa nini labda twambie anaumwa nini ili tukamtibia aje kututawala akiwa na afya njema.
 
Back
Top Bottom