Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

Mimi nataka kufungua mirath ya Baba yangu mkubwa kwa bahati mbaya Mungu akumjalia mtoto..
Umepita mda sasa mirathi haijafunguliwa na baadhi ya ndugu wamenza kujimilikisha baadhi ya vitu..
Ndg Wakili utanisaidiaje...
 
Naomba msaada wa kisheria nilisababishiwa ajari ya gari ,niligongwa nikiwa naendesha pikipiki dfp gali ilingonga kwa nyuma dreva mahakamani alikiri makosa alioshitakiwa akaamriwa faini au jela faini alilipiwa Sasa natafuta .msaada wa kudai bima wanilipe fidia kutokana na kuvunjika mguu wangu kwenye ajari hiyo nilisaidiwa ninaendekea vzr mguu ingawa hauwezi kuwa sawa Kama mwanzo nisaidie wabobezi wa kisheria niko Igombe B Ilemela Mwanza simu 0688 787828

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, pole kwa tatizo lililokupata.
Madai ya fidia kwa ajali zilizosababishwa kwa uzembe na vyombo vya moto vinavyomilikiwa na serikali huwa yanafanywa kwa kumuandikia barua ya madai yako mkurugenzi wa idara ya uhandisi na mitambo wa sehemu/mkoa husika ambako chombo hicho kinawajibika. Katika barua yako pamoja na madai yako ya fidia kuwa ndiyo msingi mzima, pia, ambatanisha nakarla ya taarifa ya traffik aliyefanya uchunguzi wa ajali hiyo, nakala ya hukumu ya mahakama pia muhimu zaidi nakala ya uchunguzi ya daktari aliyekutibu ikionesha madhara uliyoyapata.
 
Mkuu mm nimemwekea rafiki yangu dhamana polisi (barua ya mtendaji na mambo mengine mengi na elfu tisini juu) baada ya hapo kesi ile ikafutwa je mimi naruhusiwa kwenda kudai kile kiasi cha pesa kule police station.. msaada Tafadhali!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu 666 chata naomba nisaidie Kama Kuna sheria hii, kutokana na hii situation iliyonikuta

Mimi niliwahi kuajiriwa serikalini baada ya miaka miwili na nusu nikafukuzwa kazi, baada ya kufukuzwa kazi nikaanza kufuatilia mafao yangu pspf (ambayo Sasa hivi ni psssf) nikawa nimekamilisha tafatibu zote kilichobaki ni kuingiziwa hiyo hela, ila wakaniambia hawatanilipa hiyo hela badala yake wataiingiza bodi ya mikopo kwa sababu nadaiwa.

Sasa umepita zaidi ya mwaka mmoja toka waniambie hivyo na hiyo pesa bodi ya mikopo haijaingia.

Naomba unisaidie kunipa fact ya kisheria kwamba je hiyo sheria au utaratibu huo ni kweli upo au haupo?

Maana mimi si kwamba nimestaafu, hapana, mimi nilifanya kazi kwa miaka miwili na nusu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu naomba msaada.
Mimi niliajiriwa kiwandani,nimesitishiwa mkataba wangu ambao ulitakiwa kuisha tar 15/9 /2020.
Sasa naomb msaada ni namna gani natakiwa kulipwa?
Nisaidie kwasababu tumeshindwa kuelewana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengi yalio ulizwa ktk huu uzi tayari nilikwisha yajibia kwenye uzi wa mwezi december, au wadau walitolea ufafanuzi zaidi, nashauri bora utumike ule uzi wa mwezi december.
 
Mkuu 666 chata naomba nisaidie Kama Kuna sheria hii, kutokana na hii situation iliyonikuta

Mimi niliwahi kuajiriwa serikalini baada ya miaka miwili na nusu nikafukuzwa kazi, baada ya kufukuzwa kazi nikaanza kufuatilia mafao yangu pspf (ambayo Sasa hivi ni psssf) nikawa nimekamilisha tafatibu zote kilichobaki ni kuingiziwa hiyo hela, ila wakaniambia hawatanilipa hiyo hela badala yake wataiingiza bodi ya mikopo kwa sababu nadaiwa.

Sasa umepita zaidi ya mwaka mmoja toka waniambie hivyo na hiyo pesa bodi ya mikopo haijaingia.

Naomba unisaidie kunipa fact ya kisheria kwamba je hiyo sheria au utaratibu huo ni kweli upo au haupo?

Maana mimi si kwamba nimestaafu, hapana, mimi nilifanya kazi kwa miaka miwili na nusu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu haiwezekani, fao la kujitoa haliwezi kutumika kama option ya ku compasate deni jingine unless kuna order ya mahakama imeamuru ilipiwe deni lingine (gunshee order), rudi ukadai hela yako na uwaambie wakupe muongozo wa maamuzi yao wamwutoa wapi? Kataa kabisaa.
 
Muda ni leo Jumamosi mpaka jumapili tu (16-17 february 2019).

tunaendelea tena leo February 22 mpaka February 24.

wakili.

Muda ni leo Jumamosi mpaka jumapili tu (16-17 february 2019).

tunaendelea tena leo February 22 mpaka February 24.

wakili.
Naomba msaada wako,
Iwapo mtu anadaiwa na mahakama ikadhibitisha lakini kwa bahati mbaya hana uwezo wa kulipa deni yani hana mali yeyote ya kuweza kulipa hilo deni nini kinatokea,

Iko hivi, kuna ndugu yangu alichukua mali za watu akauza na katika kufuatilia akaja akakamatwa na mahakama ikadhibitisha kuwa yeye ndo kachukua lakini sasa yeye jinsi alivyo hana kitu chochote cha kuweza kulipa lile deni.
je, hii imekaaje kisheria ndo msingi wa swali langu hapo👆👆

Vilevile hao watu alikua anafanyanao kazi kama kibarua tu na sio ajira 🙏🙏
 
Okei, sheria haikutungwa ili kuwapata wale wenye uwezo wa kulipa tu, hapana ni watu wote na kuwajibika lazima kuwepo, sasa atalipaje hii ni hoja ambayo itajibiwa vyema wakati wa ukaziaji wa hukumu tajwa ktk mahakama, ambapo kuna njia nyingi tu moja mtu anaweza kuchagua kuomba "mshindwa/aliekutwa na hatia wa kesi aende jela kama mfungwa wa madai, aka kae jela mpaka hapo atakapozipata hizo hela, yeye au ndugu zake".
 
Okei, sheria haikutungwa ili kuwapata wale wenye uwezo wa kulipa tu, hapana ni watu wote na kuwajibika lazima kuwepo, sasa atalipaje hii ni hoja ambayo itajibiwa vyema wakati wa ukaziaji wa hukumu tajwa ktk mahakama, ambapo kuna njia nyingi tu moja mtu anaweza kuchagua kuomba "mshindwa/aliekutwa na hatia wa kesi aende jela kama mfungwa wa madai, aka kae jela mpaka hapo atakapozipata hizo hela, yeye au ndugu zake
Asante sana kwa ushauri wako.
 
Mkuu naomba tufafanulie kuhusu madai baada ya kushinda kesi kutokana na damage aliyosababisha mdaiwa (compensation damages) Je sheria hii ipo? Na mahakama ipi naweza,kufuatilia madai hayo?

Mfano mtu amekaa na deni miaka 5, hasara aliyokusababishia kutokana na deni hilo, je naweza kulipwa riba kwa kipindi chote cha miaka mitano aliyokaa na deni?
 
je sheria inasemaje kuhusu kudai fidia...boss wangu ananipunja overtime badala ya kunipa extra hours siku za siku kuu masaa 12 yeye ananilipa masaa 7 tu amenipunja takribani sikukuu za miaka 4 nataka nimdai fidia pamoja na malipo yote ambayo ajanilipa je inawezekana?
 
Naomba kuelimisha
Iwapo Mahakama imetoa Hukumu na Mtekezaji wa hiyo Hukumu ni HALMASHAURI lakini Halmashauri kwa Makusudi Hawataki Kutekeleza Hukumu hiyo je MAHAKAMA huchukua Hatua gani kwa hiyo Halmashauri?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
666 chata , Je, mkataba wa kuuziana/kununua ardhi au kiwanja ni lazima upitie kwa serikali ya mtaa/mtendaji ili uwe halali, hasa kwa kuzingatia sheria ya uuzaji mali na sheria ya mkataba? Kwa nini nisiweze kuingia mkataba moja kwa moja na mnunuzi/muuzaji wa kiwanja/ardhi?Serikali ya mtaa huwa na template ya mkataba ambao inabidi muuzaji/mnunuzi atumie na hakuna nafasi ya kuongeza vipengele muuzaji au mnunuzi angependa viwepo.
 
Back
Top Bottom