Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

Kama ilivyo kwa kesi zinazofunguliwa na Jamhuri...kwa mkabala wa shambulizi la Lissu na yy kutokuwepo nchini,nani anapaswa kufungua mashtaka.!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi zote za jinai zitafunguliwa/kuongozwa/kuendeshwa na jamhuri, Victim ambae ni Lissu atakua shahidi muhimu wa kesi na anaepaswa kuwepo, na hata kama hayupo sheria ya usaidizi wa makosa ya Jinai baina yetu na nchi nyingine inatoa mwanya kwa victim kama lissu ambae yuko nje ya nchi kutoa ushaidi wake hata ki electronic akiwa huko huko nje.... kwaio ni jamhuri pekee bado ndio itakayo bakia na uwezo wa kufungua kesi hio ya shambulio la lissu na sio mwingine, jinai haziruhusu watu binafsi kuendesha kesi zao za jinai, ila isipokua mahakama ya mwanzo kwenye makosa madogo mtu binafsi anaweza kujiendesheamwenyewe kesi ya jinai.
 
sina kesi ila nilipenda ungenipatia ushauri wa kisheria haswa kwa maswala kadhaa yanayo nitatiza kwa kutoijua sheria...kama upo tayari niruhusu niendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa nn Jamhuri hajafungua hiyo kesi.!? au hadi abembelezwe

je,Jamhuri anaweza kushtakiwa kwa kutofanya wajibu wake kwa Lissu?

Kesi zote za jinai zitafunguliwa/kuongozwa/kuendeshwa na jamhuri, Victim ambae ni Lissu atakua shahidi muhimu wa kesi na anaepaswa kuwepo, na hata kama hayupo sheria ya usaidizi wa makosa ya Jinai baina yetu na nchi nyingine inatoa mwanya kwa victim kama lissu ambae yuko nje ya nchi kutoa ushaidi wake hata ki electronic akiwa huko huko nje.... kwaio ni jamhuri pekee bado ndio itakayo bakia na uwezo wa kufungua kesi hio ya shambulio la lissu na sio mwingine, jinai haziruhusu watu binafsi kuendesha kesi zao za jinai, ila isipokua mahakama ya mwanzo kwenye makosa madogo mtu binafsi anaweza kujiendesheamwenyewe kesi ya jinai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Mkuu. Kama mtu anakudai, let say shilingi 100, na umeshalipa asilimia 60 ya deni. Jee akifungua kesi mahakamani , kuna uwezekano wa kufungwa? Au mahahakama inakuwa na uamuzi wa aina gani? Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu na kukopa pesa ni ipi?
kupata pesa kwa njia ya udanganyifu ni kosa linalohesabiwa kama jinai na adhabu yake hua ni kifungu au faini au vyote kwa pamoja, lakini kukopa pesa ni shitaka lililo chini ya madai, ambako ni watu/makampuni/taasisi wanakua sehemu ya kesi hio, haina kifungo ila kuna utaifishaji mali, malipo nk nk nk, ata ikitokea mtu kwenda jela ni ile hali ataenda kama mfungwa wa madai kwa muda maalumu tu chini ya malipo ya mdai wakati huo akiwa jela 'civil prisoner'.
 
Ahsante,mtu binafsi anaruhusiwa kukopesha kwa riba fedha au mazao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu likoje au mazingira huawaje tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu kuna maana nyingi sanaa, moja inaweza kua kumuigizia mtu kua ni wewe wakati sio wewe 'impersonation', kumrubuni mtu atume au atoe hela, kufoji nyaraka kwa nia ya upigaji, kufoji nafasi ya mtu ktk ofisi, kutumia namba za watu kupata hela, nk nk nk. kwaio haya hua ni makosa ya wizi tu ila tofauti yao ni nia tu tofauti na wizi mwingine, kwamba hapo ni mtu wewe ulikua una nia gani? ndio maana linaitwa "kwa nia ya udanganyifu" na unaweza kushtakiwa kwa kosa hili ata bila kutimiza adhma yako hio ya utapeli.
 
Kuna ukomo kwenye mirathi?

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio, hua kuna ukomo katika mirathi, kwa mfano marehem akifa alaf ndugu wa marehemu wakashindwa kufungua mirathi mahakamani ndani ya muda wa miaka mitatu toka kifo cha marehemu, basi mali za marehemu zitachukuliwa na kua chini ya uangalizi wa administrator general, so ukomo ni miaka mitatu toka kifo cha marehemu... njia za kuongeza muda na kurudishwa mali chini ya uangalizi wa wanandugu baada muda wa sheria kupita, ni maombi mapya yanayoweza kufanywa na wanasheria.
 
Habari Mkuu. Kama mtu anakudai, let say shilingi 100, na umeshalipa asilimia 60 ya deni. Jee akifungua kesi mahakamani , kuna uwezekano wa kufungwa? Au mahahakama inakuwa na uamuzi wa aina gani? Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
hauwezi kufungwa, kesi za madai ni ngumu mtu kufungwa,endapo umelipa asilimia 60 ya deni basi mahakama itaamuru baadhi ya mali zako kupigwa mnada kufidishia kiasi kilicho baki.
 
Back
Top Bottom