Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 34,158
- 99,110
Volunteer au Intern?Nilikuwa najitolea
Volunteer au Intern?Nilikuwa najitolea
Nilikuwa najitolea ila mambo kwa sasa sio mazuri kuleYaani hapa kwanza kapata wapi Mil 1, usikute kwenye kilimo, Bora akomae uko uko.
Hizi biashara anazojifariji eti mzunguko upo kisa anawaona wenye maduka "wanapiga Hela" ataumia. Ukiingia kwenye game unakuta hali tofauti.
Sisi mshua alikua anaona daladala kila siku zinajaza abiria akajua biashara nyepesi. Akashauriana na bro wanavuta coaster. Oya game gumu sana, simple ukiwa nje.
Pia umri 25 years unataka ukae tu unasubiria wateja, serious maisha Yako yooote ukae tu. Ukizeeka je?