Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Finally the dots are connecting thoroughly,:mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph::mmph: all by themselves.
 
Sitaki kukushauri, ila ingekua mimi ningetafuta watu 4 wa kazi, walioshiba. Nae wamfanye alichonifanya. Wajisevie kiboga na pesa nawapatia

Sawa mkuuu ila nasamehe tu nimeanbiwa sana
 
Dah! Limenigusa sana, yn mpaka nimekosa cha kushauri, ila naona uwork on your decission.
 
pole sana. Muombe MUngu atakusaidia kumbuka kulipa mema kwa mabaya. malipo ni duniani hapa, subiri utaona mvua ya Mungu inavomnyeshea.
 
Miss chagga hilo tukio lilikuwa baya sana hasa kwa kuzingatia kwamba limekuletea madhara ya kisaikolojia. Naturally utatamani kulipiza kisasi ila kiukweli revenge utakayofanya itakupa unafuu wa siku chache ila sio remedy ya kudumu. Nakusihi ufanye maamuzi magumu MSAMEHE bure najua ni gumu, jitahidi uchinganye na watu ili usahau na jiweke katika nafasi ya kwamba kama ungekuwa mwanaume ungeweza kugafilika namna hiyo hiyo! Jambo la muhimu zaidi kulifanya jipe positive atitude kuh kufanya love, hiyo itakupa faida zaidi. YOU ARE TOO YOUNG TO LIVE WOUNDED. HEAL EVERY LITTLE BRUISE.
 
mmm hii ni imekukuta .....ni story ya m2......au ni simulizi tu....? maana ......
 
msamehe na umwombee huku ukimwomba mungu mungu akusaidie umpate mtu utakayempenda na yeye kukupenda na kukusahaulisha hiyo kitu.
 
Aisee Mimi nakusapoti kwa namna yoyote kumuonyesha hisia zako kwamba alikutesa sana na alikuumiza na unaumia na utaendelea kuumia kwa ajili take!
We unaekaataa c mbwa may b ni wewe tu but nyuma yako wap Wanaume weengii tena wao ni zaid ya m b w a kwa ukatili wanaoufanya.
Mnsssssyyy
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom