Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.
,,
umri umetudanganya hebu fanya mahesabu mwenyewe ya sehemu nilizoweka red, (yaani upo chini ya miaka 25)
Ushauri msamehe tu atajuana na Muumba huko mbele ya safari. Wasichana wengi tu kama siyo wote hutolewa bikira na ndugu zao wa karibu ijapokuwa hawasemi, hii ni kwa sababu kipindi cha kubalee/kuvunja ungo ndiyo hao unaokuwa nao, hivyo maingiliano ni rahisi sana. Halafu usizinizini hovyo! kama haujisikii kufanya subiri mpaka hapo hali itakaporuhusu.
 
Jichunguze kama hujawahi kumkosea mtu pia, kama unawahi nawe huwa unasamehewa basi samehe.. Coz utaua or anything and you still wont get back your virgin, anything cant undo what was done.. Pray and you will have strength to overcome all!!

Do not do anything stupid, jela zipo kwa ajili hiyo.. And the jehanam as well.. Kila mmoja abebe mzigo wake!!
 
Swala la umri nimesema kati ya 25 na 30 .... nimekuelewa mkuu mbona mmefokonyoa thread ya mda mrefu ni nini?
 
Jichunguze kama hujawahi kumkosea mtu pia, kama unawahi nawe huwa unasamehewa basi samehe.. Coz utaua or anything and you still wont get back your virgin, anything cant undo what was done.. Pray and you will have strength to overcome all!!

Do not do anything stupid, jela zipo kwa ajili hiyo.. And the jehanam as well.. Kila mmoja abebe mzigo wake!!

Nimeelewa mkuu jamani q
 
Ukishindwa kuzuia, tiba ni bora zaidi. Alisha kubaka kwasababu ya udhaifu wako na akatimiza azima yake, hakuna kitu utakachofanya kureverse hiyo situation.

Believe me or not, dhambi/kosa linatesa nafsi balaaa. Mtu anaweza asipate ujasiri wa kukuface kuapologize, but anakuwa anaumia balaaa. Point yangu haponi kwamba hata huyo bamkubwa wako naamini anajuta kwa alichokufanyia.

Maisha lazima yaendelee, kuna watu wako vitandani wanatamani hata wangepata nafasi ya kuliona jua lakini hawaipati. Mshukuru Mungu kwamba uko salama, maisha yako ni ya muhimu sana kuliko kisasi ulichonacho moyoni. Kumbuka ukiamua kulipiza, nakuapia, hautakuja uwe na amani maisha yako yote.

Unachotakiwa kufanya, wewe ni mtu mzima sasa na unauchungu. Achilia kutoka moyoni mwako aiza kwa kumtafta huyo mtu uongee nae au kwa kutafta msaada wa kiroho.

Dada, uovu wote unaouona, Ibirisi ndio engineer wake. Shetani anatumia watu ili kuharibu maisha ya wengine na yeye ndio furaha yake kukuona unateseka.

Nakuombea kwa mwenyezi Mungu roho ya msamaha iingie ndani yako ili uwe huru na uweze kuanza mahusiano yenye amani na furaha.
 
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….

natanguliza shukrani zangu,,,

Mkuu,
kwanza nakupa pole kwa hayo yaliotokea.jaribu kupitia thread moja ya nguvu ya msamaha acha kabisa.
 
Ukishindwa kuzuia, tiba ni bora zaidi. Alisha kubaka kwasababu ya udhaifu wako na akatimiza azima yake, hakuna kitu utakachofanya kureverse hiyo situation.

Believe me or not, dhambi/kosa linatesa nafsi balaaa. Mtu anaweza asipate ujasiri wa kukuface kuapologize, but anakuwa anaumia balaaa. Point yangu haponi kwamba hata huyo bamkubwa wako naamini anajuta kwa alichokufanyia.

Maisha lazima yaendelee, kuna watu wako vitandani wanatamani hata wangepata nafasi ya kuliona jua lakini hawaipati. Mshukuru Mungu kwamba uko salama, maisha yako ni ya muhimu sana kuliko kisasi ulichonacho moyoni. Kumbuka ukiamua kulipiza, nakuapia, hautakuja uwe na amani maisha yako yote.

Unachotakiwa kufanya, wewe ni mtu mzima sasa na unauchungu. Achilia kutoka moyoni mwako aiza kwa kumtafta huyo mtu uongee nae au kwa kutafta msaada wa kiroho.

Dada, uovu wote unaouona, Ibirisi ndio engineer wake. Shetani anatumia watu ili kuharibu maisha ya wengine na yeye ndio furaha yake kukuona unateseka.

Nakuombea kwa mwenyezi Mungu roho ya msamaha iingie ndani yako ili uwe huru na uweze kuanza mahusiano yenye amani na furaha.

Amen mkuuu
 
The best revenge is turning yourself around na kufanya jambo ambalo mtu aliyekufanyia ubaya atabaki kukushangaa na kuumia
kill them with success and burry them wth a smile sweety.samehe tena ikibidi siku moja mpigie au mfuate face to face mwambie nimekusamehe ila keep your distance
kuna watu wengi wamepitia abuse either za ndugu,wazazi au wenzi ila ni Mungu tu ndio atakaeweza kukupa nguvu ya kusamehe
mi pia at i once thought of revenge ila not now.he/she is not worth t
 
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena.

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana.

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka.

Natanguliza shukrani zangu

Una matatizo ya kisaikolojia, ambayo yamesababishwa na hilo tukio. Nitafute, nikusaidie.
 
The best revenge is turning yourself around na kufanya jambo ambalo mtu aliyekufanyia ubaya atabaki kukushangaa na kuumia
kill them with success and burry them wth a smile sweety.samehe tena ikibidi siku moja mpigie au mfuate face to face mwambie nimekusamehe ila keep your distance
kuna watu wengi wamepitia abuse either za ndugu,wazazi au wenzi ila ni Mungu tu ndio atakaeweza kukupa nguvu ya kusamehe
mi pia at i once thought of revenge ila not now.he/she is not worth t

Sawa mkuuuu
 
Mimi kama Mimi nisingemuua ila ningemfanya kitu ambacho asingesahau na kuteseka kama mimi .pole sana mydia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom